Mariupol yaanguka, ushindi wa kwanza mkubwa wa Urusi

Kwa geography ya ukrain mrusi hawezi kuigawa ila vitu viwili vinaweza kufanyika kumpindua au kumzima kabisa ili urusi iwe na amani,ila mrusi lazima amuondoe kwa namna yeyote ile hawezi kumuacha yule
 

Fighting ongoing in Mariupol: AJ correspondent​

Fighting in Mariupol was still ongoing according to the Telegram channel of the Azov regiment, Al Jazeera’s Hoda Abdel-Hamid reported from the western Ukrainian city of Lviv.


“They [Azov] were saying that a paramedic had died earlier in the day now rom From what we understand, the number of Ukrainian forces along with members of this Azov regiment are holed up in a the Azov steel factory which is a bit south of the city,” she added.

“The Russians are surrounding them. It is a very difficult battle.”
 
Wanajeshi wakisha jisalimisha huwa wanapewa adhabu au wanaachwa tu
Kuna sheria za umoja was mataifa huwalinda ili wasiuawe. Japo haziwezi pia kuzuia taifa lililoshika mateka kuwaua coz makamanda wengine sheria za UN kwao hazina maana.
Nb. Mateka wanna faida ifuatayo.
Kufanya mibadilishano ya mateka wa pande mbili
 
Hizo ndizo Habari tunazotaka kusikia,.Mwana Mkaidi hawezi faidi mpaka siku ya Iddi.Fireeee💥💥💥
 
Wazee wa kwamtogole tunaoshindia ugali dagaa tunafanya uchambuzi na kujua kuliko wote
 
Kwa geography ya ukrain mrusi hawezi kuigawa ila vitu viwili vinaweza kufanyika kumpindua au kumzima kabisa ili urusi iwe na amani,ila mrusi lazima amuondoe kwa namna yeyote ile hawezi kumuacha yule
Nia ni kuichukua yote na kuirudisha nyumbani.Urusi atapata amani na ataongeza mtaji mkubwa wa Uchumi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…