Huyu raisi wa Ukraine ameamua kuuza nchi yake kwa ghalama za maisha ya watu wake, ilikuwa ni wamuzi wa kutofungamana na upande wowote,ili watu waishi kwa amani,Sasa maisha yameharibika kisa kutaka kuleta adui karibu na mbabe rusia, Ukraine imeonywa Mara kibao,acha kuleta maadui zangu kalibu yangu lkn akawa jeuri, kiburi hakijengi Bali kinabomoa,cube iliambiwa na marekani toa silaha za kirusi sivyo tutakufanya kitu kibaya,alipo toa maishi yaliendelea Kama kawaida,kwa upuuzi huu Ukraine itabakia jangwa,acha waonyeshane ubabe kwenye ardhi ya Ukraine,wababe walikuwa wanatafuta pa kupimishia mnguvu yao,Sasa wamepapata kwa mpuuzi zele,hii vita inaweza kuchukua hata miaka 10, kwamaana silaha wanazo,chakula wanacho,majeshi wanayo,hela wanayo ya kutosha,mwisho wa hii vita ni Ukraine kugawanywa Kama Korea kusini na Korea kaskazini,hakuna mshindi kati ya urusi na Ukraine (NATO+marekani) mwisho wa hii vita ni busala itumike kwa marekani na NATO kuishawishi Ukraine wakubali dipromasia