Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Hahahahah ingekuwa jau jau eeh 🤣🤣🤣
 
Daaah aisee naipata iyo sema jina hata mimi nmelisahau kuna scene moja kuna majamaa walikuwa wezi wanafukua makaburi afu wanaibia maiti vitu vyao kama saa na kadhalika sasa kuna mmoja walimkata kiganja wakaingia nacho kwenye gari aisee kiliwasumbua kile kiganja mpk basi walikitupa nje kilivyoanguka nje kile kiganja kiwakawapa middle finger [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi movie ni mfululizo wa zombies zinaitwa the living dead
 
Mkuu na katika hilo pipa walipofungua ulitoka moshi kama kemikali ukampata yule mwenzao mkubwa akaanza kukohoa mwisho nae alibadirika akawa zombie au sio
 
Mkuu na katika hilo pipa walipofungua ulitoka moshi kama kemikali ukampata yule mwenzao mkubwa akaanza kukohoa mwisho nae alibadirika akawa zombie au sio
Yes ule moshi nafikiri huenda ndio ulienda juu ukapeleka athari mpaka makaburini wafu wakaamka sijui hivyo
 
Ndio hivyo hivyo mkuu
Hii nikiipata niangalie maana ile imagination ya utoto zombie Kama pale linatokea kwenye kioo Cha pipa jeupe na mimoshimoshi ilikuwa na picha fulani kwenye utoto unaogopa nikiangalia Leo nitaona du mbona vidubwasha
 
Hapo kwenye neno vidubwasha nimecheka....
 
KUNA MUVI MOJA WALI PENDA IONYESHA ITV,

ILIKUA YA KICHAWI MPK TUNAOGOPA KUINGIA NDANI BY THEN....

MIAKA YA DHAMANI INAITWA "KIBUYU"
 
Kuna ile nyingine ilkua ina oneshwa ITV kama sikosei zamani ..vi roboti vidogo vidogo ..dogo Ali viokoto kama toy kumbe ni vizima vikawa vita uwa watu
 
Kuna ile nyingine ilkua ina oneshwa ITV kama sikosei zamani ..vi roboti vidogo vidogo ..dogo Ali viokoto kama toy kumbe ni vizima vikawa vita uwa watu
Robocop?
Sikumbuki ila ITV Kila Christmas na mwaka mpya wanaweka muvi usiku...
 
Duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…