Sijui nani ataijua hii movie
Ni horror movie zamani tuliita movie ya kijini, nakumbuka sehemu chache Kama kuna watu wanatupa pipa(kanista) sehemu hivi pembezoni mwa mji watoto watundu kuchezacheza usiku wanaenda kwenye pipa kumbe kwenye pipa Kuna kiumbe/zombie kwa utundu wao wanalicungulia wanakimbi
Sehemu nyengine mtoto anakimbia makaburini zombie/jini linafufuka
Kuna sehemu jini/zombie anakatwa kichwa jamaa anaweka kwenye begi
Nakumbuka sehemu hizo chakushangaza hii movie kila mdau ukimuuliza anakumbuka sehemusehemu tu Kama hizo ila movie haikumbuki jina....moja ya movie ilikuwa maarufu ya kijini wakati huo.
Anayeikumbuka