ndugu mteja
Senior Member
- Sep 6, 2022
- 121
- 227
Ahaa, sawa mkuu. Ngoja niichungulie. Shukrani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa, sawa mkuu. Ngoja niichungulie. Shukrani.
Michael dudugofView attachment 2583413
KOMANDO KIPENSI/KICHUPI
Ana muvi nzuri 🔥🔥MOVIE YA HUYU MWAMBA NINAYOIKUBALI SANA NI ILE CRYING FREEMAN
Hebu check na The Quick & The Dead ya zamani sana ila ni nzuriHuyu jamaa nilimkubali kweny movie inaitwa "Cold Harvest" ni mkali hatari ile kakaake aliuliwa kwa ule mchezo wa kupewa risasi uweke kweny bastole ukiwahi unamshoot mwenzio
Haahaaa😊😊Drive naikubali pale disco ni kipande nakipenda sana
Mniga analiwa na mamba😃
🤣Arnold la Jeny
Eti UjiUji wabongo tumeshindikana 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 😅
kuna ile T2 ( Terminator 2) aka Anodi UjiUji
Mzee wa Capoera ,ParanauweeeeeView attachment 2583319
Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote...
Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho....
Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga....
Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea kwenye tasnia ya muvi za ki mapigano...
Hii muvi inakukumbusha nini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti UjiUji wabongo tumeshindikana 🤣🤣🤣🤣
Blood moon ileJamaa alikua yupo vzr sanaa....
Unakumbuka Ile movie ya yule jamaa alikua na vidole viwili vya chumaa...
Akawatafuta
Mabigwa wotee wa ndondi akawaua...
Hatari sana mkuu mbongo mpe picha tu caption ataziweka mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hi movie haichoshi kuitazamaa..View attachment 2583319
Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote...
Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho....
Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga....
Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea kwenye tasnia ya muvi za ki mapigano...
Hii muvi inakukumbusha nini?
Kale kademu kalikuwa waluwalu sanaUmekumbusha hii movie nimeiona kitambo Sana... Karibia Miaka 20 iliyopita.... Ila kuna kipande kile rasta aliniangusha wakati anaitwa na yule mwanamke pale club ili akale mbususu[emoji23][emoji23][emoji23]... Yule demu alimkubali Sana Yule rasta....
Bila shaka hiyo ya Bill Blanks itakuwa unasemea The king of kickboxer ,starring Loren AvedonHii muvi niliiangalia kwa kuirudia hadi mkanda ukanyonya nikaukata nikaunga na gundi..huyu chalii kuna muvi ingine sikumbuki jina alikuwa na BILL BLANKS.nayo ilikuwa na mkono hataree
Hii na ile DELTA FORCE 2 ya pablo.
Enzi hizo home deki mbovu unaazima kwa jirani.
Hii muvi niliiangalia kwa kuirudia hadi mkanda ukanyonya nikaukata nikaunga na gundi..huyu chalii kuna muvi ingine sikumbuki jina alikuwa na BILL BLANKS.nayo ilikuwa na mkono hataree
Hii na ile DELTA FORCE 2 ya pablo.
Enzi hizo home deki mbovu unaazima kwa jirani.
Hii ili movie nilielewa sana .. hadi nikatamani sana kuwa msoja kitengo cha usalama.. bahati nzuri nilichomoka kidogo niwe mjeda kweli 😅😅