Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Huyu jamaa nilimkubali kweny movie inaitwa "Cold Harvest" ni mkali hatari ile kakaake aliuliwa kwa ule mchezo wa kupewa risasi uweke kweny bastole ukiwahi unamshoot mwenzio
Hebu check na The Quick & The Dead ya zamani sana ila ni nzuri

Binafsi napenda sana Old movies ya dizain hiyo...aliact Leonardo Di Caprio akiwa mdogo
 
Kuna hii The Bodyguard From Beijing

Jet Li alikiwasha sio poa humo

images (1).jpeg
 
View attachment 2583319
Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote...

Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho....

Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga....

Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea kwenye tasnia ya muvi za ki mapigano...

Hii muvi inakukumbusha nini?
Mzee wa Capoera ,Paranauweeeee
 
View attachment 2583319
Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote...

Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho....

Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga....

Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea kwenye tasnia ya muvi za ki mapigano...

Hii muvi inakukumbusha nini?
Hi movie haichoshi kuitazamaa..
 
Hii muvi niliiangalia kwa kuirudia hadi mkanda ukanyonya nikaukata nikaunga na gundi..huyu chalii kuna muvi ingine sikumbuki jina alikuwa na BILL BLANKS.nayo ilikuwa na mkono hataree

Hii na ile DELTA FORCE 2 ya pablo.

Enzi hizo home deki mbovu unaazima kwa jirani.
Bila shaka hiyo ya Bill Blanks itakuwa unasemea The king of kickboxer ,starring Loren Avedon
Hii muvi niliiangalia kwa kuirudia hadi mkanda ukanyonya nikaukata nikaunga na gundi..huyu chalii kuna muvi ingine sikumbuki jina alikuwa na BILL BLANKS.nayo ilikuwa na mkono hataree

Hii na ile DELTA FORCE 2 ya pablo.

Enzi hizo home deki mbovu unaazima kwa jirani.
 
Kipindi kile move zote zilikuwa moto
Ukienda India wanakicahafua ma Amrishkapool, China huko ndo usiseme taikwando , ukija state ***** Vandame , Chuknoris , Anord, Rambo , kipindi kile hata shule hatuendi tunaishia kwenye vibanda umiza
 
Back
Top Bottom