Makuzamkumbo
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 501
- 519
Kuna ile ya Jet Lee kacheza na mtoto Aaliyah nimesahau jina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Delta force 3 ndiyo nzuri kushinda Delta force 1, 2,I need some pillow, i need some pillow
- The Delta Force (Chuck Norris)
Mtu mmoja Antonio Banderas bonge moja ya movie naikubali sanaDisperado
Romeo must dieKuna ile ya Jet Lee kacheza na mtoto Aaliyah nimesahau jina
wahindi waka sample, wakaja na jaani dushman
Huyo jamaa vidole vya chuma ndo aliyeigiza adui kuu katika IP MAN 2...DARREN SHAHLAVI (R.I.P)Jamaa alikua yupo vzr sanaa....
Unakumbuka Ile movie ya yule jamaa alikua na vidole viwili vya chumaa...
Akawatafuta
Mabigwa wotee wa ndondi akawaua...
Unaskia...''Moooooove!!!'' Sauti nzito ya CYBORG akiagiza vijana wake wamlete Damme
HakikaDelta force 3 ndiyo nzuri kushinda Delta force 1, 2,
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hiyo movie acha kabisaa…inasemekana ndio movie iliyojaa kichapo cha ukweli.van damme aliua kweli wakati movie inatengenezwaUnaskia...''Moooooove!!!'' Sauti nzito ya CYBORG akiagiza vijana wake wamlete Damme
One of the best memory''The Judgement day'' ile mpaka leo hii bado ni hatari sana
Mpaka Sasa hakujawai kutoka kichwani.Mimi katika picha hii napenda kinanda chake tuu ila huyo mniga mdebwedo aling!atwa na mamba [emoji56] [emoji56]
Ilibaki kidogo Jackie Chan awepo kwenye Eastern Condors na washikaji zake Sammo Hung na Yuen Biao ila alikuwa Yugoslavia anatengeneza Armour of GodBonge lingine la movie.... Acha kabisa.... Yule kubwa la maadui kule kwenye mitambo... Anajipepea mwenyewe... Afu hacheki....[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tujikumbushe movies tulizokua nazo 🤣Ngoma nyingine hii... Hii movie naikubali mpaka Leo....
Bonge la movie... Aisee...
Bennett [emoji23][emoji23]... Pigwa Sana kule mwishoni....
Umenikumbusha mbali sana Mkurugenzi... Safi sana...
Romeo Must DieKuna ile ya Jet Lee kacheza na mtoto Aaliyah nimesahau jina
Zamani movie Bei rahisi kufanya,Kisha piga hela ndefu,deadly prey ni bongo movie pureView attachment 2583413
KOMANDO KIPENSI/KICHUPI
Ungeingia tu jeshi mkuuHii ili movie nilielewa sana .. hadi nikatamani sana kuwa msoja kitengo cha usalama.. bahati nzuri nilichomoka kidogo niwe mjeda kweli 😅😅