Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

IMG_3147.jpg

KUBWA la Maasui aka FRANCO......yeye kazi yake ilikua moja tu, kuterminate kinachoitwa "Maadui zake""
 
Bonge lingine la movie.... Acha kabisa.... Yule kubwa la maadui kule kwenye mitambo... Anajipepea mwenyewe... Afu hacheki....[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilibaki kidogo Jackie Chan awepo kwenye Eastern Condors na washikaji zake Sammo Hung na Yuen Biao ila alikuwa Yugoslavia anatengeneza Armour of God
images (4).jpeg
 
Back
Top Bottom