The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Duuuh aiseee duuuuidu budubudubuNaunga mkono hoja
Wateja wayumbishwa tu na matoleo ya iPhone 😁Naunga mkono hoja
Ni katika kukumbushana tu, kipindi apple inafanya ubunifu huo(20yrs ago) ndicho kipindi mbowe alikua anaanza uenyekitiBoss wa Meta na mmiliki wa Facebook, Instagram, Thread na WhatsApp bwana Mark Zuckerberg amesema kampuni ya Apple haina ubunifu wowote kwa zaidi ya miaka 20 baada ya Steve Jobs kuvumbua Iphone.
Anasema sasa hata mauzo ya Iphone yanashuka sana na kufidia hasara ya kushuka mauzo ya Iphone, Apple wamejikita kwenye kukamua wateja wanaotumia huduma zao kwa mfano kukata kodi ya 30% kwa developers.
Mark anasema Apple walivumbua iPod, kitu kizuri sana ila wakakosea kuinyima Ipod uhuru wa kuunganishwa kwenye vitu vingine nje ya apple ecosystems.
Msikilize mwenyewe hapa.
View: https://x.com/tsarnick/status/1877856200349331521?s=19
MariposaNa Iphone wanakuja na camera za Samsung, patamu hapo
Ila we bwana weweNi katika kukumbushana tu, kipindi apple inafanya ubunifu huo(20yrs ago) ndicho kipindi mbowe alikua anaanza uenyekiti
2005 nilikuwa saouth natafta maishaAna point sema Apple sasa hivi si naye ni mpinzani wake kwenye AR/VR market lazima ampige spana.
Kino au Migo?2005 nilikuwa saouth natafta maisha
Kama umefuatilia vizuri utagundua hujajibu hoja za mauzo ya iphone kushuka na kuwakata asilimia 30 developers ila umeishia kumshambulia yeye binafsi na bidhaa zake bila kujibu hoja.Ni mawazo yake, kuwa bilionea haimaanishi kama ushauri wake una maana sana au ana akili nyingi, Mark alibahatika tu kutengeneza website flani nzuri kwa lugha ya html na php ndipo ikawa facebook ... lakini tayari social media kama myspace zilikuwepo...
Meta ni mtoto mdogo kwa Apple...
Mbowe kaishiwa ubunifu kama i Phone sioNi katika kukumbushana tu, kipindi apple inafanya ubunifu huo(20yrs ago) ndicho kipindi mbowe alikua anaanza uenyekiti
Mkuu katika biashara kuna kupanda na kushuka.. Suala la mauzo kushuka kila kampuni inapitia...Kama umefuatilia vizuri utagundua hujajibu hoja za mauzo ya iphone kushuka na kuwakata asilimia 30 developers ila umeishia kumshambulia yeye binafsi na bidhaa zake bila kujibu hoja.