Hata kabla ya iPhone kulikuwa na simu ambazo ni touch na nyingi zilikiwa na touch ya resisitive ila iPhone ilibadili game.Kabla ya Facebook kulikuwa na Myspace; Friendster; Second Life na nyingine nying tu; Whats App, Insta zote wamenunua....
Narudia tena Facebook wamebuni nini ? Ingawa this is neither here nor there..., Anyone can have ideas, Implementation is Key...
Hivyo facebook japo kulikiwa na social medias bado ilibadili game kwa kuja na features na vitu ambavyo vilifanikiwa ku reasonate na watumiaji na ndiyo maana ikawa kubwa.