Mark Zuckerberg: Apple hawajabuni kitu chochote kwa miaka zaidi ya 20 toka Steve Jobs avumbue Iphone, wamebaki kukamua wateja

Mark Zuckerberg: Apple hawajabuni kitu chochote kwa miaka zaidi ya 20 toka Steve Jobs avumbue Iphone, wamebaki kukamua wateja

Sema kuna jambo moja nakubaliana nawe mkuu, RCS baina ya imessages na app zingine haina end to end encryption, end to end encryptiion ni baina ya google messages au google messages na samsung messaging app.
Lakini bado sidhani kama apple alikuwa na hoja ya security ila monopoly.
RCS by default haina end-to-end encryption, end-to-end encryption unatengeneza wenyewe kama plugin niseme ama add-on flani kwenye software...
 
Yeah! Sasa jamaa alilisema as if Apple anamuiga Samsung. Ninachofahamu mimi ni kuwa Apple kuingia type- C imemlazimu kutokana na sheria zilizowekwa na European Commission lakini sio kwa kuishiwa teknolojia.
Yes, EU wamewalazimisha kufanya mengi ambayo wasingefanya si kwa sababu labda usb type c ni bora sana ndiyo amana kaingia.
 
Kujaribu ku clear jina lake na kampuni zake baada ya kutuhumiwa kuzuia mijadala mbalimbali kwenye platforms zake.

Trump aliwahi kumuita public enemy number 1 mwaka jana.

Sasa hivi Mark anamuangushia ziko la lawama Biden.
Bwege tu Anapaswa kuwa jela
 
But kwakuwa inakuwa ndiyo messaging standard, umoja wa ulaya umemlazimisha basi hayo yatatekelezwa hana namna. Sheria za Umoja wa Ulaya zimemlazimu apple kutekeleza mengi ambayo asingeyatekeleza.
Natamani sana Huawei wasingekuwa wamepigwa ban maana CEO wao alisema ingebaki ni iPhone na Huawei kwenye mpambano wengine wote wangekaa pembeni.
Google walitoa mwano...Google walipiga nduru kwa maana Huawei alikuwa ni habari nyingine..

Wana laptops zao matebook series sio mchezo...
 
Google walitoa mwano...Google walipiga nduru kwa maana Huawei alikuwa ni habari nyingine..

Wana laptops zao matebook series sio mchezo...
Na ningependa kutumia OS yao hii ambayo ni latest achana na ile ilikuwa ina source code za android... sema ban zimemsaidia. Now naona wanalenga kutengeneza processors ambazo ni open source
 
Na ningependa kutumia OS yao hii ambayo ni latest achana na ile ilikuwa ina source code za android... sema ban zimemsaidia. Now naona wanalenga kutengeneza processors ambazo ni open source
Huawei akiweza kwenye OS atakuwa amepiga hatua sana.
 
Ni mawazo yake, kuwa bilionea haimaanishi kama ushauri wake una maana sana au ana akili nyingi, Mark alibahatika tu kutengeneza website flani nzuri kwa lugha ya html na php ndipo ikawa facebook ... lakini tayari social media kama myspace zilikuwepo...

Meta ni mtoto mdogo kwa Apple...
Daah umenikumbusha Myspace aiseeh longtime! hawa vijana wa juzi wanaoibukia mitandaoni hawajui hiyo kitu
 
Mkuu katika biashara kuna kupanda na kushuka.. Suala la mauzo kushuka kila kampuni inapitia...
Huwezi washambulia Apple kisa kushuka kimauzo.. Bidhaa za Apple always zitaendelea kuwa bora.

Yeye anazungumziaje kuwaiga tiktok kwa kuleta instagram reels ambayo ilikuwa ni feature ya tiktok? walishindwa kuvumbua kipya hadi kuwaiga tiktok?
Umemsikiliza vizuri? Point yake haipo katika kushuka kwa sales, anazungumziq sababu za kushuka kwa sales, "UBUNIFU" anasema, over 20 years apples hawajagundua kitu kipya, hapo ndio point yake ilipo so kama unabishana nae, jikite hapo
 
Umemsikiliza vizuri? Point yake haipo katika kushuka kwa sales, anazungumziq sababu za kushuka kwa sales, "UBUNIFU" anasema, over 20 years apples hawajagundua kitu kipya, hapo ndio point yake ilipo so kama unabishana nae, jikite hapo
Nimemuelewa vyema mkuu, ndio maana namuambia katika biashara kushuka kupo.
 
Daah umenikumbusha Myspace aiseeh longtime! hawa vijana wa juzi wanaoibukia mitandaoni hawajui hiyo kitu
Binafsi MySpace nimeifahamu kitambo sana...
bado ipo lakini japo ni kama haifunction baadhi ya vitu, mwaka 2003 ilianza na kufikia 2006 ilikuwa inaongoza kwa US kwa watembeleaji..
 
Boss wa Meta na mmiliki wa Facebook, Instagram, Thread na WhatsApp bwana Mark Zuckerberg amesema kampuni ya Apple haina ubunifu wowote kwa zaidi ya miaka 20 baada ya Steve Jobs kuvumbua Iphone.

Anasema sasa hata mauzo ya Iphone yanashuka sana na kufidia hasara ya kushuka mauzo ya Iphone, Apple wamejikita kwenye kukamua wateja wanaotumia huduma zao kwa mfano kukata kodi ya 30% kwa developers.

Mark anasema Apple walivumbua iPod, kitu kizuri sana ila wakakosea kuinyima Ipod uhuru wa kuunganishwa kwenye vitu vingine nje ya apple ecosystems.

Msikilize mwenyewe hapa.

View: https://x.com/tsarnick/status/1877856200349331521?s=19

Nilikua nikiwatetea hawa wapumbavu, lakini bure kabisa. Walichoweza ni kuweka CEO shoga ili wafanikiwe ku promote na ku justify mashoga waonekane kuwa na wao ni watu kama wengine.
Walitoe hili bwabwa la Kizungu hapo waweke Mhindi waone
 
Tayari na chaja zao zinaingiliana na type C za Samsung.

Hivyo wamekuja na camera?!

Kwenye camera simply Apple anahama kutoka Sony ambako ndio alikuwa mtengenezaje wake wa camera kwa iphone za miaka ta nyuma na sasa amehamia kwa samsung sabau ni kwasababu za kibiashara (prices) hata samsung hatengenez kila kitu.. mfano Vioo vya samsung phone kuna kampuni ambayo ilikuwa inatengeneza vioo vya Samsung. Na brand zingine

Huyo mark hawez kutengeneza hoja kwa sababu eti mauzo yameshuka.. samsung upande wa electronics (TV' na simu) walifeclare loss kwenye robo ya mwaka mwaka jana au juzi hadi CEO akajiuzulu.. na chanzo ilikuwa ni uzembe wao kwenye proccessor so mauzo kushuka kuna sababu nyingi

Angeleta hoja ya kiufundi ila nachokiona amejaribu kutengeza zengwe sababu Apple kaingia kwenye biashara anayofanya so kawa competitor wake
 
Kama umefuatilia vizuri utagundua hujajibu hoja za mauzo ya iphone kushuka na kuwakata asilimia 30 developers ila umeishia kumshambulia yeye binafsi na bidhaa zake bila kujibu hoja.
Hiyo kawaida yetu, ukitupiga kwa hoja, sisi tunakupiga na jiwe,...mutusamehe tu🤣🤣😂
 
Ndugu zake akina Mocospace
2006s...
Hivi unaikumbuka The Grid kwenye 2009s/2010s
29674_t.jpg
 
Back
Top Bottom