The grid nmeitumia sana, mig33, nimbuzz, moja sijui ilikuwa quid squid hata nmeisahau2006s...
Hivi unaikumbuka The Grid kwenye 2009s/2010s
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The grid nmeitumia sana, mig33, nimbuzz, moja sijui ilikuwa quid squid hata nmeisahau2006s...
Hivi unaikumbuka The Grid kwenye 2009s/2010s
![]()
😄😄😄😄..... Mbowe anaanza uenyekiti msanii mkubwa nchini alikuwa Mr Nice.Ni katika kukumbushana tu, kipindi apple inafanya ubunifu huo(20yrs ago) ndicho kipindi mbowe alikua anaanza uenyekiti
the grid ilikua tamu miaka hiyo! Nakumbuka niliwahi chati na binti mmoja wa kitanzania kipindi hicho alikua anasoma India! tukawa marafiki sana..Sijui yupo wapi sahizi nilishamsahau hata jina..!2006s...
Hivi unaikumbuka The Grid kwenye 2009s/2010s
![]()
Kwenye symbian kipindi hiko...😀The grid nmeitumia sana, mig33, nimbuzz, moja sijui ilikuwa quid squid hata nmeisahau
Juzi nilikua nasikiliza wimbo unaitwa Vilevile wameimba kina jay moe(wateule)😄😄😄😄..... Mbowe anaanza uenyekiti msanii mkubwa nchini alikuwa Mr Nice.
Hatari sana...the grid ilikua tamu miaka hiyo! Nakumbuka niliwahi chati na binti mmoja wa kitanzania kipindi hicho alikua anasoma India! tukawa marafiki sana..Sijui yupo wapi sahizi nilishamsahau hata jina..!
Noma sana nimepata videmu huko kinomaKwenye symbian kipindi hiko...😀
Hio squid nilipataga na kidemu flani kiarabu... kitambo sana..
umenikumbusha nimbuzz na hizo mig33...
Yeye mwenyewe tu ni mwizi/mdhulumati wa idea za watu, kwanzia Facebook ilikuwa ni project aliyoshirikishwa na wenzake ila baadae akawazunguka na hatimae kuifanya yake... Na pia mark ni mtu asiyependa competition ndio maana social networks karibu zilizonekana ni tishio Kwa Facebook miaka hiyo alizinunua, alichemka kwenye Twitter tu.Ni mawazo yake, kuwa bilionea haimaanishi kama ushauri wake una maana sana au ana akili nyingi, Mark alibahatika tu kutengeneza website flani nzuri kwa lugha ya html na php ndipo ikawa facebook ... lakini tayari social media kama myspace zilikuwepo...
Meta ni mtoto mdogo kwa Apple...
Hakuna anayependa competetion apple kanunua makampuni mengi na kisha kuyaua, same to microsoft, adobe, google.Yeye mwenyewe tu ni mwizi/mdhulumati wa idea za watu, kwanzia Facebook ilikuwa ni project aliyoshirikishwa na wenzake ila baadae akawazunguka na hatimae kuifanya yake... Na pia mark ni mtu asiyependa competition ndio maana social networks karibu zilizonekana ni tishio Kwa Facebook miaka hiyo alizinunua, alichemka kwenye Twitter tu.
Hata hii kauli kaisema hili Apple wafanye mabadiliko ya bidhaa zao hasa hapo kwenye ipod kutofanya kazi nje ya Apple ecosystem.
Wamejifunza kutoka kwa makampuni kama blockbuster ilivyomalizwa na NetFlix, au microsoft ilivyomaliza IBM, na google inavyompelekesha microsoft n.k....Hakuna anayependa competetion apple kanunua makampuni mengi na kisha kuyaua, same to microsoft, adobe, google.
Suala la kununua washindani ni suala la makampuni yote huko.
Hivi Adobe hajawahi kutaka kununua canva? Nmetazama documentary ya yule binti mwanzilishi wa canva, aisee so inspiringWamejifunza kutoka kwa makampuni kama blockbuster ilivyomalizwa na NetFlix, au microsoft ilivyomaliza IBM, na google inavyompelekesha microsoft n.k....
Anaelewa fika level a Apple ni next..Yeye mwenyewe tu ni mwizi/mdhulumati wa idea za watu, kwanzia Facebook ilikuwa ni project aliyoshirikishwa na wenzake ila baadae akawazunguka na hatimae kuifanya yake... Na pia mark ni mtu asiyependa competition ndio maana social networks karibu zilizonekana ni tishio Kwa Facebook miaka hiyo alizinunua, alichemka kwenye Twitter tu.
Hata hii kauli kaisema hili Apple wafanye mabadiliko ya bidhaa zao hasa hapo kwenye ipod kutofanya kazi nje ya Apple ecosystem.
Sijajua, Lakini nilisikiaga tu Adobe akitaka kuinunua Figma...Hivi Adobe hajawahi kutaka kununua canva? Nmetazama documentary ya yule binti mwanzilishi wa canva, aisee so inspiring
Hivi hakuweza kuinunua? Figma noma sana. Sema naona adobe na microsoft walishtuka kuwa web based app zinazotehemea cloud is the future nao wanajitahidi kwenda nao sawa.Sijajua, Lakini nilisikiaga tu Adobe akitaka kuinunua Figma...
Lakini Canva imekuwa platform kubwa sana..
Sikufuatilia lakini nimesoa kwenye net nimeona wali terminate hio deal hivi karibuni...Hivi hakuweza kuinunua? Figma noma sana. Sema naona adobe na microsoft walishtuka kuwa web based app zinazotehemea cloud is the future nao wanajitahidi kwenda nao sawa.
Mimi niko kwenye field ya localization naona clients wengi siku hizi hawapendi trados studio wana prefer memoq, memsource google yeye anayo yake inaitwa polyglot na haipatikani kwa public domain unless unafanya nao kazi ndipo wanakupa access yake.
Hapana mkuu haijatofautiana sana na memsource au memoq ila nadhani inakuwa rahisi kwao kumanage projects zao inhouse. Haijatofautiana sana hata na smartcat. Hata facebook wanayo ya kwao pia ni inhouse mpaka wakupe access na wana kuassign kwa kutumia account yako ya facebook.Sikufuatilia lakini nimesoa kwenye net nimeona wali terminate hio deal hivi karibuni...
Ina maana kwenye CAT tools, hio polyglot ndio the best right?
Mkuu mbona Google wenyewe wanasema RCS ina end to end encryption.RCS by default haina end-to-end encryption, end-to-end encryption unatengeneza wenyewe kama plugin niseme ama add-on flani kwenye software...