Mark Zuckerberg: Apple hawajabuni kitu chochote kwa miaka zaidi ya 20 toka Steve Jobs avumbue Iphone, wamebaki kukamua wateja

Mark Zuckerberg: Apple hawajabuni kitu chochote kwa miaka zaidi ya 20 toka Steve Jobs avumbue Iphone, wamebaki kukamua wateja

Mpaka sasa hakuna search engine ambayo imeweza kuipiku Google, hakuna search engine inayotengeneza pesa kuliko Google yet bado watu wanasema Google search engine kwa sasa haina jipya inaenda kupoteza watumiaji.
Same to Facebook ndiyo maana anapambana kununua apps nyingine kama alivyonunua instagram na whatsapp.
Ni kweli kuwa kwa sasa uzinduzi wa iPhone hauna vitu exciting sana kama ilivyokuwa hapo awali. Zama zile ilipokuwa ikitolewa iPhone mpya, unaona kweli kuna vitu vipya sana. Now days mostly it;s about cameras, now naona na AI japo hata wakati wa uzinduzi wa iPhone 16 AI features zilikuwa ni promises hazikuzinduliwa nayo.
Apple kazi yao si kuja na vipya au ugunduzi, kazi ya Apple huwa ni kuboresha zaidi vitu ambavyo wengine hawajaviboresha au wameshindwa.
Kama ni mfuatiliaji utagundua hilo.
 
Kwenye suala la uvumbuzi huwezi linganisha Apple Inc na Meta.
Apple wameanzisha trends za vitu vingi sana na phone/computer companies wakiwemo Samsung wanaigiliza...

Apple wameleta mapinduzi makubwa na kui shape 21st century...
Apple walichofanikiwa ni kuleta changes kwenye mobile computing baada ya kuleta iphones na iPad. Nitawaheshimu zaidi kwa hilo ila kabla yao Laptop zilikuwepo, Desktop zilikuwepo pamoja na Smart Gadgets za HP zinazo run on Windows na baadhi ya simu zilzokuwa zina run on Symbian OS.

Apple wameleta Enhancement kubwa kupitia iOs na Mac Os.
 
Apple walichofanikiwa ni kuleta changes kwenye mobile computing baada ya kuleta iphones na iPad. Nitawaheshimu zaidi kwa hilo ila kabla yao Laptop zilikuwepo, Desktop zilikuwepo pamoja na Smart Gadgets za HP zinazo run on Windows na baadhi ya simu zilzokuwa zina run on Symbian OS.
Nakubaliana na wewe, lakini tukiri wameleta mapinduzi.
 
Apple kazi yao si kuja na vipya au ugunduzi, kazi ya Apple huwa ni kuboresha zaidi vitu ambavyo wengine hawajaviboresha au wameshindwa.
Kama ni mfuatiliaji utagundua hilo.
Ndiyo sasa huo uboreshaji umepungua kwa sasa. Mimi ni mpenzi wa apple products and ecosystem but hivi karibuni uzinduzi wao hauna vitu exciting kama ilivyokuwa nyuma. Japo kwa upande wa computer ile mac min waliyotoa juzi ya bei chee ni bidhaa ambayo imenivutia mno.
 
RCS ni complex na inaweza kutuma medias na files, hivyo attacker uwanja mpana zaidi ku attack kuliko sms ya kawaida...
In short RCS ni hatari kuliko simple sms...
simple as that..
Lakini still google messaging app inasupport encryption same to samsung messaging app. So kwanini kama ni encryption app asingeimplement hiyo kwenye rcs?
Tunarudi pale pale kwenye rcs apple alikuwa anatumia hoja ya security kuwa monopoly. RCS inasupport encryption google kaimplement kwenye messaging app yake same to samsung na simu nyingi za android kwa rcs wanatumia app ya google message.
 
Kwani mgundizi wa type C ni Samsung? By the way wakati Samsung anatengeneza simu za tochi pia alikuwa ni mtengenezaji wa vifaa vya Apple.
Kuna kitu kinaitwa USB Implementers Forum (USB-IF) ambayo inahusisha makampuni mengi yanayotengeneza bidhaa ikiwemo Apple, Intel, Microsoft, HP, Dell na wengine. Hawa ndiyo huja na standard za USB. Hivyo type c si standard ya samsung wala invention ya samsung.
 
Mapinduzi walioleta ni kupitia iOS ila pia usisahau kuna Androids. Hawa wote wawili wamepindua meza kwenye mobile computing. Sahizi mimi nina laptop ila naweza nisiiwashe hata mwezi mzima kila kitu namalizia kwa phone.
Japo tukiri Apple ameleta chachu kwa companies nyingine za software/hardware wapambane zaidi na kuboresha products zao.
Jamaa kwa hilo wanatisha sana, wana strong focus katika ku achieve perfection katika design na functionality ya products zao, wana prioritize quality na attention to detail... Jamaa wapo vizuri, wamekuwa chanzo cha kuamsha kampuni nyingine nyingi kuwa washindani zaidi.
 
Apple kazi yao si kuja na vipya au ugunduzi, kazi ya Apple huwa ni kuboresha zaidi vitu ambavyo wengine hawajaviboresha au wameshindwa.
Kama ni mfuatiliaji utagundua hilo.
Sema kuna jambo moja nakubaliana nawe mkuu, RCS baina ya imessages na app zingine haina end to end encryption, end to end encryptiion ni baina ya google messages au google messages na samsung messaging app.
Lakini bado sidhani kama apple alikuwa na hoja ya security ila monopoly.
 
Kwani swali liliulizwaje? Kwa maana tunashambulia jibu la jamaa bila kujua walifikaje huko...

Anyway, ila Apple kwenye hizi bidhaa zao za iPhone inaweza ikawa ni mfano mzuri wa kusema kwamba ukiritimba ni njia nzuri ya kukimbia ushindani, haijalishi iwe wa moja kwa moja au usiwe wa moja kwa moja.
 
Lakini still google messaging app inasupport encryption same to samsung messaging app. So kwanini kama ni encryption app asingeimplement hiyo kwenye rcs?
Tunarudi pale pale kwenye rcs apple alikuwa anatumia hoja ya security kuwa monopoly. RCS inasupport encryption google kaimplement kwenye messaging app yake same to samsung na simu nyingi za android kwa rcs wanatumia app ya google message.
RCS by default haiji na features za end-to-end, kama ya google ipo coded na Kotlin au Java, iOS haitumii Kotlin ama Java, hapo itawabidi waanze ku code hizo features kwa swift ama Objective C from scratch...

Hio ni kazi ingine..
 
Kuna kitu kinaitwa USB Implementers Forum (USB-IF) ambayo inahusisha makampuni mengi yanayotengeneza bidhaa ikiwemo Apple, Intel, Microsoft, HP, Dell na wengine. Hawa ndiyo huja na standard za USB. Hivyo type c si standard ya samsung wala invention ya samsung.
Yeah! Sasa jamaa alilisema as if Apple anamuiga Samsung. Ninachofahamu mimi ni kuwa Apple kuingia type- C imemlazimu kutokana na sheria zilizowekwa na European Commission lakini sio kwa kuishiwa teknolojia.
 
RCS by default haiji na features za end-to-end, kama ya google ipo coded na Kotlin au Java, iOS haitumii Kotlin ama Java, hapo itawabidi waanze ku code hizo features kwa swift ama Objective C from scratch...

Hio ni kazi ingine..
But kwakuwa inakuwa ndiyo messaging standard, umoja wa ulaya umemlazimisha basi hayo yatatekelezwa hana namna. Sheria za Umoja wa Ulaya zimemlazimu apple kutekeleza mengi ambayo asingeyatekeleza.
Natamani sana Huawei wasingekuwa wamepigwa ban maana CEO wao alisema ingebaki ni iPhone na Huawei kwenye mpambano wengine wote wangekaa pembeni.
 
Back
Top Bottom