Mpaka sasa hakuna search engine ambayo imeweza kuipiku Google, hakuna search engine inayotengeneza pesa kuliko Google yet bado watu wanasema Google search engine kwa sasa haina jipya inaenda kupoteza watumiaji.
Same to Facebook ndiyo maana anapambana kununua apps nyingine kama alivyonunua instagram na whatsapp.
Ni kweli kuwa kwa sasa uzinduzi wa iPhone hauna vitu exciting sana kama ilivyokuwa hapo awali. Zama zile ilipokuwa ikitolewa iPhone mpya, unaona kweli kuna vitu vipya sana. Now days mostly it;s about cameras, now naona na AI japo hata wakati wa uzinduzi wa iPhone 16 AI features zilikuwa ni promises hazikuzinduliwa nayo.