Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Mtumiaji wa apple pale anapojitetea 😂 tulieni mpewe ukweli na muukubaliWakisema waanze kubuni dunia itashangazwa sana, waache tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtumiaji wa apple pale anapojitetea 😂 tulieni mpewe ukweli na muukubaliWakisema waanze kubuni dunia itashangazwa sana, waache tu
Kwa imessanger na google messages haina encryption ndo wanalifanyia kazi mkuuMkuu mbona Google wenyewe wanasema RCS ina end to end encryption.
RCS chats between Google Messages users are automatically upgraded to end-to-end encryption. With end-to-end encryption, no one can read the content sent between you and the other person. End-to-end encryption works for both 1:1 chats and groups when all conversation participants use Google Messages with RCS chats turned on.
Ama unamaanisha encryption ipi?
Wazungu wa ulaya wamefirisika katika mawazo wa kiuchumi, kile kizazi cha zamani si hiki kizazi kilichopo. Kizazi cha sasa kimekuta kila kitu kipo so ni kama kimedumaa kiuchumi. Wamebaki kuwa regulators.It was not about security, it was about monopoly. Kwanza unachobidi ufahamu walikuwa wanauwezo wa kuimplement hiyo feature kwa kupitia servers zao wenyewe. Google alipoona hawataki ndipo akatoa option ya kuunda miundombinu kwa ajili yao. Lakini sasa imebidi walazimishwe kuijumuisha. Apple security huwa ni chaka lake la kuwa monopoly.
Sasa kaiweka ndiyo maana unaona kuna suala la green na blue bubbles.
Apple umoja wa Ulaya sheria zake zinaenda kuondoa tabia yake ya kuwa monopoly. Ilikuwa inamsaidia sana kuwa na huduma exclusive kwenye bidhaa zake. Yani iPhone ni one of the best product amewahi tengeneza, kisha akaunda huduma exlusive juu ya iPhone, ila sasa sheria za umoja wa ulaya zinaondoa hiyo hali na kumfanya apple apate washidani wanaotoa huduma hizo hizo kwenye bidhaa zake mwenyewe.
Wazungu kuna muda siwaelewi, bidhaa ya kwangu ila unanilazimisha niruhusu wengine watoe huduma sawa na zangu eti kuleta ushindani. Ila sisi watumiaji hiyo ni faida kwetu.
Alishaondoka apple akaanzisha kampuni yakeMtu pekee angeweza kuendeleza mapinduzi ya technology katika Apple ni Jony Ive.
Na Sasa nimekuwa nikijiuliza sana swali kuwa kwanini Steve Jobs hakumuacha rafiki yake Ive awe CEO na badala yake ikawa ni Tim Cook.
Nafkri kuna Hali inampata mtu kama Ive na anafreeze anajisemea moyoni, kuwa, "siwezi kutoa mchango wangu wa thamani tena, kwa kuwa sijaona nikithaminiwa".
Na kisha anaondoka Apple.
RCS ya google wameongeza hizo function, au niseme wame update, by default RCS haina end-to-end encryption.Mkuu mbona Google wenyewe wanasema RCS ina end to end encryption.
RCS chats between Google Messages users are automatically upgraded to end-to-end encryption. With end-to-end encryption, no one can read the content sent between you and the other person. End-to-end encryption works for both 1:1 chats and groups when all conversation participants use Google Messages with RCS chats turned on.
Ama unamaanisha encryption ipi?
Kilichowapata ulaya andicho kitaipata Marekani kwa china.Wazungu wa ulaya wamefirisika katika mawazo wa kiuchumi, kile kizazi cha zamani si hiki kizazi kilichopo. Kizazi cha sasa kimekuta kila kitu kipo so ni kama kimedumaa kiuchumi. Wamebaki kuwa regulators.
1. Hawana AI company, wana regulation za AI
2. Hawana Crypto company wana regulation za crypto
3. Hawana social media company, wanarugalition za social media
4. Nokia inakufa so watakuwa hawana big phones company wameshatoa charger zote zitakozouzwa kwenye nchi zao ziwe za typ C wakijificha kichama cha kunktrol electronic waste.
😂😂😂😂 Hayo ni bango ya Wamarekani wakipiga ulaya
Jobs aliamini sana katika anachokiamini, jamaa akikomaa idea yake ipite basi mjue itapita.Mtu pekee angeweza kuendeleza mapinduzi ya technology katika Apple ni Jony Ive.
Na Sasa nimekuwa nikijiuliza sana swali kuwa kwanini Steve Jobs hakumuacha rafiki yake Ive awe CEO na badala yake ikawa ni Tim Cook.
Nafkri kuna Hali inampata mtu kama Ive na anafreeze anajisemea moyoni, kuwa, "siwezi kutoa mchango wangu wa thamani tena, kwa kuwa sijaona nikithaminiwa".
Na kisha anaondoka Apple.
Ubunifu kwenye smartphone upo kwenye peak, hata Samsung ukianzia S20 kuna ubunifu ganiUmemsikiliza vizuri? Point yake haipo katika kushuka kwa sales, anazungumziq sababu za kushuka kwa sales, "UBUNIFU" anasema, over 20 years apples hawajagundua kitu kipya, hapo ndio point yake ilipo so kama unabishana nae, jikite hapo
Unadhani ana time na kampuni za nje ya USA? Why umeifikiria Samsung na sio Nokia, Motorola, Siemens nk?Ubunifu kwenye smartphone upo kwenye peak, hata Samsung ukianzia S20 kuna ubunifu gani
www.visualcapitalist.com