Mark Zuckerberg: Apple hawajabuni kitu chochote kwa miaka zaidi ya 20 toka Steve Jobs avumbue Iphone, wamebaki kukamua wateja

Kwa imessanger na google messages haina encryption ndo wanalifanyia kazi mkuu
 
Wazungu wa ulaya wamefirisika katika mawazo wa kiuchumi, kile kizazi cha zamani si hiki kizazi kilichopo. Kizazi cha sasa kimekuta kila kitu kipo so ni kama kimedumaa kiuchumi. Wamebaki kuwa regulators.

1. Hawana AI company, wana regulation za AI
2. Hawana Crypto company wana regulation za crypto
3. Hawana social media company, wanarugalition za social media
4. Nokia inakufa so watakuwa hawana big phones company wameshatoa charger zote zitakozouzwa kwenye nchi zao ziwe za typ C wakijificha kichama cha kunktrol electronic waste.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hayo ni bango ya Wamarekani wakipiga ulaya
 
Mtu pekee angeweza kuendeleza mapinduzi ya technology katika Apple ni Jony Ive.

Na Sasa nimekuwa nikijiuliza sana swali kuwa kwanini Steve Jobs hakumuacha rafiki yake Ive awe CEO na badala yake ikawa ni Tim Cook.

Nafkri kuna Hali inampata mtu kama Ive na anafreeze anajisemea moyoni, kuwa, "siwezi kutoa mchango wangu wa thamani tena, kwa kuwa sijaona nikithaminiwa".

Na kisha anaondoka Apple.
 
Alishaondoka apple akaanzisha kampuni yake
 
RCS ya google wameongeza hizo function, au niseme wame update, by default RCS haina end-to-end encryption.
Apple inabidi na wao waanze ku code namna yao ya ku encrypt hio RCS messages.
 
Kilichowapata ulaya andicho kitaipata Marekani kwa china.
Best talents walikuwa wanahamia marekani kwasababu ya mazingira bora ya kazi na malipo, now china inawinda best talents na inawahidi mshahara hata mara 200 ya wanaolipwa. Hiki sasa kwa marekani na ulaya imekuwa kama ni kosa wakati marekani alikuwa anafanya hivyo hivyo.
Ulaya wana matatizo mengi ya kiuchumi sasa kiasi kwamba hata haijulikani watatokaje walipo sasa
 
Jobs aliamini sana katika anachokiamini, jamaa akikomaa idea yake ipite basi mjue itapita.
 
Umemsikiliza vizuri? Point yake haipo katika kushuka kwa sales, anazungumziq sababu za kushuka kwa sales, "UBUNIFU" anasema, over 20 years apples hawajagundua kitu kipya, hapo ndio point yake ilipo so kama unabishana nae, jikite hapo
Ubunifu kwenye smartphone upo kwenye peak, hata Samsung ukianzia S20 kuna ubunifu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…