Mark Zuckerberg atangaza kurudi hewani mitandao yake

Kumbe walifanya kusudi?
 
Na kuna tetesi accounts kibao wamiliki hawana access nazo. Wahuni waliohack wanataka pesa ndefu ili waziachie accounts hizo. Hawa Hackers wanataka turudi nineteen kweusi.
Instagram yangu juzi nimekuta imekuwa logged out na google accounts zote!

Wamebadili password ya instagram, ni siku nyingi ilikuwa inanipa notifications kwamba kuna mtu amelog in toka location ingine nikawa napuuza dah😎 kimeumana
 
Hizo pesa zitatumwa au watazipata kwa njia gani bila kuonekana?
Do you Know Bitcoin..?

Wahalifu wengi hutumia Bitcoin Kama njia ya malipo maana ni ngumu kuonyesha pesa imetoka wapi na imeenda wapi!!.
My sister huu ulimwengu unavyouona inategemea na wewe umeelekeza wapi shingo yako ili uweze kuona kile unachotaka kuoana!.
Sometimes usione hao wakubwa huko wanashikana kwa mitafaruku ukafikiri ni burebure!,yapo mambo wanafanya hao sema pesa inafutika uhuni wao.
 
Instagram yangu juzi nimekuta imekuwa logged out na google accounts zote!

Wamebadili password ya instagram, ni siku nyingi ilikuwa inanipa notifications kwamba kuna mtu amelog in toka location ingine nikawa napuuza dah😎 kimeumana
Bora ya ww walilog out tu ikaisha, mm kuna jamaa tulikuwa tunachat nae fb kama rafk badae tukabadilishana no, e bwana we, ck moja nikatumia email notification kuwa someone else trying to login to ur google account. Nilipuuza nikajiaminisha hawezi kuingia coz nimeweka pin moja strong sanaaaπŸ˜‚πŸ˜‚, baada ya kwenye lisaa hivi wakat natumia sm ikawa inaenda ovyo tu, nikajua imejaa ngoja nifute baadhi ya vitu. Wakat naendelea kushangaa nikaona sm inaniletea phone is going deep fomatin😁😁 yani kama vile movie nikaona inajiweka okay! Eee bana simu ikazungukaaa mwishowe ikazima alafu ikajiwasha😁😁😁, ikawa kama ilivotoka dukan kuanza kuifanyia setting. Nilivyomaliza nikaingia fb tena nikaona yule msenge amenitumia picha za screen shot ambazo alipiga kwenye simu yang pich zangu, video zilizokuwepo, majina yote alafu likaniblock!! Heee kichwa kilitaka kupasuka, nikaingia google faster kubadili password nikaiwekea na ulinzi mkubwa, nikaenda playstore nikadownload app ya kugundua haraka kama cm inataka kuhakiwa😁😁😁😁,. Nyieee awa mahacker ni moto😁😁, badae nikasema ngoja nione login history ya google akaunt yng nikakuta simu iliyo login muda akaunt inafutika ilikuwa Samsung Galaxy S10 wakati mimi natumia infinix hot 6 😁😁😁😁, kuanzia hapo nilifuta akaunt ya fb kabisa 😁😁😁😁
 
Walikukomesha kweli mzee mie najionea duble duble tu account yangu ipo ila siwezi login
 
Walikukomesha kweli mzee mie najionea duble duble tu account yangu ipo ila siwezi login
Hawa watu wasikie tu kwa jirani, imagine mm wamefuta tu simu yangu ila kuna wengine wanahitaji wawalipe hela ndo waachie akaunt zao na kama hutaki wanatishia kuanza kupost mambo yako ya siri/faragha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unakuta kwenye cm yk ushapigaga au kurekodi zile picha zetuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kaka utaenda hadi kukopa bank ili uwalipe wasenge waleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hadi hapa ndio unagundua bila watu huyo jamaa angekuwa kapuku tu...
 
Inasemekana alo sababisha hiyo soo kijana wa kichina 13 yrs ni hacker ( Sin Jiy Sui) ndio jana usiku kafanya vitu vyake any way bora tubadilshe mfumo wa mtandao hii ni hatari sana mitandao mitatu kumilikiwa na mmoja (FB .Insta. na whatssapp) jamani tubadilikeni ni ulevi toshaaa.
 
wangebaki hivi kwa 3days..

kuna watu wangepata mimba.
kuna ndoa zingepata furaha.
kuna watu wangelala mapema.
Makazini ufanisi ungeongezeka.
kuna watu wangepunguza dhambi.
kuna watu wangelala muda wa kutosha.
nk, nk, nk, nk, nk.
Hiyo isingekuwa dawa maana watu wangetumia mbadala kama vile twitter kwa mbadala wa facebook na instagram, pia wangetumia telegraph kwa mbadala wa WhatsApp na messanger.
 
Ngoja tusubiri huu mziki tuone unavyo kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…