Bora ya ww walilog out tu ikaisha, mm kuna jamaa tulikuwa tunachat nae fb kama rafk badae tukabadilishana no, e bwana we, ck moja nikatumia email notification kuwa someone else trying to login to ur google account. Nilipuuza nikajiaminisha hawezi kuingia coz nimeweka pin moja strong sanaaa😂😂, baada ya kwenye lisaa hivi wakat natumia sm ikawa inaenda ovyo tu, nikajua imejaa ngoja nifute baadhi ya vitu. Wakat naendelea kushangaa nikaona sm inaniletea phone is going deep fomatin😁😁 yani kama vile movie nikaona inajiweka okay! Eee bana simu ikazungukaaa mwishowe ikazima alafu ikajiwasha😁😁😁, ikawa kama ilivotoka dukan kuanza kuifanyia setting. Nilivyomaliza nikaingia fb tena nikaona yule msenge amenitumia picha za screen shot ambazo alipiga kwenye simu yang pich zangu, video zilizokuwepo, majina yote alafu likaniblock!! Heee kichwa kilitaka kupasuka, nikaingia google faster kubadili password nikaiwekea na ulinzi mkubwa, nikaenda playstore nikadownload app ya kugundua haraka kama cm inataka kuhakiwa😁😁😁😁,. Nyieee awa mahacker ni moto😁😁, badae nikasema ngoja nione login history ya google akaunt yng nikakuta simu iliyo login muda akaunt inafutika ilikuwa Samsung Galaxy S10 😁😁😁😁, kuanzia hapo nilifuta akaunt ya fb kabisa 😁😁😁😁