Uchaguzi 2020 Mark Zuckerberg ndiye atakayemwapisha Tundu Lissu?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Ndugu zangu,

Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.

Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.

Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?
 
Hao walioko FB, Twitter n.k ni waTZ na hayo ni maoni yao nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi hii, hizo social media ni platform tu lakini pia sample zake zinaakisi nani endapo kura halisi zikiwa huru na haki ataweza shinda uchaguzi hapo oct 28.
 
Waonee huruma wana CCM ndugu!! Wameshikiwa akili zao na yule jamaa wa chato. Hadi wanatia huruma
 
Huu ndio upuuzi unaowagharimu chadema wanajifanya wamarekani zaidi wakati hawana lolote
Ndugu zangu,

Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.

Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.

Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?
 
Kama kimeingia chochote kitu basi hakuna tatizo.
1600023575-picsay.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao walioko FB, Twitter n.k ni waTZ na hayo ni maoni yao nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi hii, hizo social media ni platform tu lakini pia sample zake zinaakisi nani endapo kura halisi zikiwa huru na haki ataweza shinda uchaguzi hapo oct 28.
Mkuu hawa Lumumba ni wakuhurumia!Duniani kote kuna hizi opinion polls!Sasa imemuuma kuona Lissu anaongoza huko mitandaoni!Na hapa ndio ieleweke kuwa upinzani unakubalika zaidi kwa wasomi na wwnye nafuu kimaisha,ila wajinga na masikini ndio nguzo ya CCM!Tunakoenda wajinga wanapungua kwa kasi kwani dunia imekuwa kiganja!
 
Ndugu zangu,

Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.

Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.

Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?
Kwani jiwe ataapishwa na Ayubu Ryobaa
Maana jiwe njee ya TBC hana ushawishi
 
Ndugu zangu,

Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.

Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.

Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?
NDIO
 
Hizo ni opinion polls.... Ni kiashiria cha uelekeo wa wapiga kura.

Inaonekana shule hujaenda kabisa, hizo kura za mitandaoni ni samples za population nzima.

Najua uchungu wako ni kwa sababu CCM imeshindwa kwenye hizo kura

Shida ni kuwa Lissu kaongoza hizo kura za maoni!Haya fungieni mitandao ya kijamii!

Nyota njema uonekana asubuhi...
Hizo Ni dalili tu za awali...
TL azidi kupiga spana Hadi wanyooshe mikono juu.
 
Lissu bwana akiona kwenye mitandaoni ya kijamii wanampa na kumtia moyo anadhani na huku uraiani hali iko hivyo

Kiufupi kachemsha sana,hakuna uchaguzi utakuwa rahisi kwa CCM kama uchaguzi wa mwaka 2020.
 
Kwani walioko mitandaoni wanaishi mars?
 
Hizo ni opinion polls.... Ni kiashiria cha uelekeo wa wapiga kura.

Inaonekana shule hujaenda kabisa, hizo kura za mitandaoni ni samples za population nzima.

Najua uchungu wako ni kwa sababu CCM imeshindwa kwenye hizo kura
Akili ndogo utawajua, je hao wanaopiga kura mitandaoni ndio waliojiandikisha?
 
Back
Top Bottom