Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Hao walioko FB, Twitter n.k ni waTZ na hayo ni maoni yao nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi hii, hizo social media ni platform tu lakini pia sample zake zinaakisi nani endapo kura halisi zikiwa huru na haki ataweza shinda uchaguzi hapo oct 28.Ndugu zangu,
Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.
Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.
Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?
Waonee huruma wana CCM ndugu!! Wameshikiwa akili zao na yule jamaa wa chato. Hadi wanatia hurumaHao walioko FB, Twitter n.k ni waTZ na hayo ni maoni yao nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi hii, hizo social media ni platform tu lakini pia sample zake zinaakisi nani endapo kura halisi zikiwa huru na haki ataweza shinda uchaguzi hapo oct 28.
Ndugu zangu,
Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.
Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.
Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?
Walishikiw akili na mwinyi wakasahau,wakashikwa akili na mkapa wakasahau,wakashikwa na JK wakasahau ,wameshindwa na JPM miaka mitano wamesahau? Ni kawaida yao kusahau.Waonee huruma wana CCM ndugu!! Wameshikiwa akili zao na yule jamaa wa chato. Hadi wanatia huruma
Mkuu hawa Lumumba ni wakuhurumia!Duniani kote kuna hizi opinion polls!Sasa imemuuma kuona Lissu anaongoza huko mitandaoni!Na hapa ndio ieleweke kuwa upinzani unakubalika zaidi kwa wasomi na wwnye nafuu kimaisha,ila wajinga na masikini ndio nguzo ya CCM!Tunakoenda wajinga wanapungua kwa kasi kwani dunia imekuwa kiganja!Hao walioko FB, Twitter n.k ni waTZ na hayo ni maoni yao nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi hii, hizo social media ni platform tu lakini pia sample zake zinaakisi nani endapo kura halisi zikiwa huru na haki ataweza shinda uchaguzi hapo oct 28.
Shida ni kuwa Lissu kaongoza hizo kura za maoni!Haya fungieni mitandao ya kijamii!Huu ndio upuuzi unaowagharimu chadema wanajifanya wamarekani zaidi wakati hawana lolote
Kwani jiwe ataapishwa na Ayubu RyobaaNdugu zangu,
Sasa sio siri tena kwamba kwenye "online polls" zilizoanzishwa Facebook,twitter Instagram na wafuasi wa Chadema na hatimaye kupigiwa kura na wana-Chadema Tundu kapata kura za kutosha,sasa aapishwe ili aanze kupiga kazi kwenye social media.
Wengi wanashangaa atafanyaje kazi twittani?ni rahisi tu kwani ata-tweett na kisha makamanda wata-retweet.
Hoja ni mfumo wa sheria na katiba; Je Mark Zuckerberg atakubalika kumwapisha Tundu?
NDIONdugu zangu,

Hizo ni opinion polls.... Ni kiashiria cha uelekeo wa wapiga kura.
Inaonekana shule hujaenda kabisa, hizo kura za mitandaoni ni samples za population nzima.
Najua uchungu wako ni kwa sababu CCM imeshindwa kwenye hizo kura
Shida ni kuwa Lissu kaongoza hizo kura za maoni!Haya fungieni mitandao ya kijamii!
Waonee huruma wana CCM ndugu!! Wameshikiwa akili zao na yule jamaa wa chato. Hadi wanatia huruma
Kwani walioko mitandaoni wanaishi mars?Lissu bwana akiona kwenye mitandaoni ya kijamii wanampa na kumtia moyo anadhani na huku uraiani hali iko hivyo
Kiufupi kachemsha sana,hakuna uchaguzi utakuwa rahisi kwa CCM kama uchaguzi wa mwaka 2020.
Akili ndogo utawajua, je hao wanaopiga kura mitandaoni ndio waliojiandikisha?Hizo ni opinion polls.... Ni kiashiria cha uelekeo wa wapiga kura.