Marketing ya Course ya Technical Education in Engineering chuo cha Must

Joined
May 5, 2024
Posts
20
Reaction score
11
Technical Education in Engineering ni course inakuwa offered hapa chuo cha must Mbeya lakini mtaani haitambuliki marketing yake ni ndogo mno ni ngumu kupata ipo kwa wanafunzi wanaosoma Technical Education tunaomba marketing associations zisaidie wanafunzi wamekata tamaa kabisa.
 
Wewe ni mwanachuo mjinga kwa sababu kwa Sasa elimu ya Tanzania ipo transformed to elimu amali/ technical Education.
Hakuna product iliyotoka must au Tanzania hadi Sasa.
Intake ilipo Ina Wanachuo saa kama 70 hivi ambao wote watarajiwa na serikali baada ya kuhitimu na kufaulu masomo Yao.
Wewe usipotoshe watu kwa jambo usilo lijua.
Wizara inayohusika na utumishi wa umma wameshatoa hadi scale ya mshahahara ambao hao wanasoma technical Education wataanzia , Sasa wewe unalalamika hata hujui usemayo.

After all, wewe kama mwanachuo wa technical Education maana yake umesomea engineering - either civil, electrical or mechanical, Sasa si uende ukaitafute ajira based on your area of specialization?

Narudia tena, usipotoshe umma kwa mambo usiyoyajua. We komaaa umalize masomo yako.
 
Inawezekana una Kitu tuelimishe ili tuwashauri wengiine wakaisome
Hiyo ni level gani kwanza,bachelor degree,postgraduate diploma,masters au? Hawa watafundisha vyuo vya ufundi,au secondary ?

Scale yake wamesemaje utumishi wa umma?
 
Watu wengi hawajui kuhusu hiyo programme but honestly ni hot cake kwa sasa.
Huyo aliyetoa hiyo concern hapo juu ni mjinga kwa sababu alishaelimishwa sana lakini kwa sababu kichwa chake hakina uelewa ndio maana anaongea huo ujinga na probably anapoitwa kupewa maelekezo huwa hahudhurii.

Ni hivi hiyo ni Bachelor degree programme ambayo graduate atakuwa na kofia MBILI. Kwa maana atakuwa Engineer let's say Electrical Engineering, or Civil Engineering or Mechanical engineering or Architectural Technology. On top of that huyo Graduate atakuwa Mwalimu wa Elimu Ufundi.
Kwa MANTIKI HIYO huyu ajira yake anaweza kuwa engineer kwa maana akajiajiri mwenyewe au ajiriwa kwenye kampuni au pia anaweza ajira na serikali kama engineer.
Ikitokea ameeajiriwa kama engineer serikalini ataanza na mshahahara wa TGS E kama ilivyo kwa engineers wengine.

Lakini ikitokea akaajiriwa serikalini kama mwalimu wa Ufundi kwenye technical secondary schools or Technical Colleges basi mshahahara wake utaanza na TGTS F.

Na haya yote ninayokuambia hapa hawa Wanachuo wameelezwa. Na pia wameelezwa kuhusu dira ya serikali kwa Sasa katika elimu na umuhimu wa hiyo course kwa sasa kwa taifa letu.

Halafu anatokea mtu huyo huyo pamoja na kuelezwa hayo yote anakuja hapa jukwaani kulalamika halafu mtu huyo hata hiyo degree hana na haja-qualify bado ana mitihani ya semester ya mwisho na hata project hajafanya na ku-submit, huoni kuwa huyo dogo hajielewi?

Sasa analalamika hapa asaidiwe nini ili hali hata cheti tu hana!
 
Nimeelewa sasa,kwa kifupi ni progrmme nzuri sana
Pia nimeona wana postgraduate diploma in technical education pale MUST,kwa ambao wana degree wanaongeza kigezo cha ualimu wa ufundi
 
Wewe ni mwanachuo mjinga kwa sababu kwa Sasa elimu ya Tanzania ipo transformed to elimu amali/ technical Education.
Hakuna product iliyotoka must au Tanzania hadi Sasa.
Intake ilipo Ina Wanachuo saa kama 70 hivi ambao wote watarajiwa na serikali baada ya kuhitimu na kufaulu masomo Yao.
Wewe usipotoshe watu kwa jambo usilo lijua.
Wizara inayohusika na utumishi wa umma wameshatoa hadi scale ya mshahahara ambao hao wanasoma technical Education wataanzia , Sasa wewe unalalamika hata hujui usemayo.

After all, wewe kama mwanachuo wa technical Education maana yake umesomea engineering - either civil, electrical or mechanical, Sasa si uende ukaitafute ajira based on your area of specialization?

Narudia tena, usipotoshe umma kwa mambo usiyoyajua. We komaaa umalize masomo yako.
Sio upotoshaji ni just tu encourage students taking the course kuwa wako sehemu sahihi wa-focus. Na pia issue ya marketing I understand Ni best course ila upokeaji mtaani bado Kuna resistance Fulani hivi hasa kwa makampuni
 
Technical Education in Engineering ni course inakuwa offered hapa chuo cha must Mbeya lakini mtaani haitambuliki marketing yake ni ndogo mno ni ngumu kupata ipo kwa wanafunzi wanaosoma Technical Education tunaomba marketing associations zisaidie wanafunzi wamekata tamaa kabisa.
Ni best course ever but mapokeo mtaani na sehemu za kufanyia field ndo bado Kuna resistance wanahisi they are only Teachers in reality they are engineers too
 
Watu wengi hawajui kuhusu hiyo programme but honestly ni hot cake kwa sasa.
Huyo aliyetoa hiyo concern hapo juu ni mjinga kwa sababu alishaelimishwa sana lakini kwa sababu kichwa chake hakina uelewa ndio maana anaongea huo ujinga na probably anapoitwa kupewa maelekezo huwa hahudhurii.

Ni hivi hiyo ni Bachelor degree programme ambayo graduate atakuwa na kofia MBILI. Kwa maana atakuwa Engineer let's say Electrical Engineering, or Civil Engineering or Mechanical engineering or Architectural Technology. On top of that huyo Graduate atakuwa Mwalimu wa Elimu Ufundi.
Kwa MANTIKI HIYO huyu ajira yake anaweza kuwa engineer kwa maana akajiajiri mwenyewe au ajiriwa kwenye kampuni au pia anaweza ajira na serikali kama engineer.
Ikitokea ameeajiriwa kama engineer serikalini ataanza na mshahahara wa TGS E kama ilivyo kwa engineers wengine.

Lakini ikitokea akaajiriwa serikalini kama mwalimu wa Ufundi kwenye technical secondary schools or Technical Colleges basi mshahahara wake utaanza na TGTS F.

Na haya yote ninayokuambia hapa hawa Wanachuo wameelezwa. Na pia wameelezwa kuhusu dira ya serikali kwa Sasa katika elimu na umuhimu wa hiyo course kwa sasa kwa taifa letu.

Halafu anatokea mtu huyo huyo pamoja na kuelezwa hayo yote anakuja hapa jukwaani kulalamika halafu mtu huyo hata hiyo degree hana na haja-qualify bado ana mitihani ya semester ya mwisho na hata project hajafanya na ku-submit, huoni kuwa huyo dogo hajielewi?

Sasa analalamika hapa asaidiwe nini ili hali hata cheti tu hana!
Thank you for clarification!
 
Nimeelewa sasa,kwa kifupi ni progrmme nzuri sana
Pia nimeona wana postgraduate diploma in technical education pale MUST,kwa ambao wana degree wanaongeza kigezo cha ualimu wa ufundi
Absolutely 💯.
Kuna watu wamemaliza programmes za engineering lakini ajira imekuwa mtihani kwao.

Wakisoma hiyo Postgraduate Diploma in Technical Education soon after graduation wanalamba ajira serikalini na kuajiriwa kwenye VETA na wapo waliomaliza hizo programme na Sasa wanakula maisha huko mtaani na check no zao.
Hivyo NASHAURI kama kuna watu wpo kitaa na wamesoma engineering programmes halafu ajira haieleweki ni vema waka-join hiyo programme ili wawe na uhakika wa ajira serikalini hasa kwenye Vyuo vya VETA na technical schools or Technical Colleges

Huo ni ushauri wangu wa bure tu
 
Pia mkuu pamoja na hayo bado VETA hawana direct employmemt,ajira kama ilivyo afya na ualimu kupitia TAMISEMI ,mchakato wa ajira zao unapitia utumishi,mpaka tangazo litoke ni kipengele,na kushinda usaili ni ishu nyingine ata afanye hiyo kozi msoto huko pale pale japo ameongeza kigezo
Wangekua na direct emplyoment kwamba waki graduate tu wanapngwa ajira ingekuwa nafuu kwao ,ila sasa mmmh msoto wa PSRS mpaka watoe nafasi za VETA na kwenye fani yako uombe mkashinfanishwe kama kada zingine
 
Asu
Watu wengi hawajui kuhusu hiyo programme but honestly ni hot cake kwa sasa.
Huyo aliyetoa hiyo concern hapo juu ni mjinga kwa sababu alishaelimishwa sana lakini kwa sababu kichwa chake hakina uelewa ndio maana anaongea huo ujinga na probably anapoitwa kupewa maelekezo huwa hahudhurii.

Ni hivi hiyo ni Bachelor degree programme ambayo graduate atakuwa na kofia MBILI. Kwa maana atakuwa Engineer let's say Electrical Engineering, or Civil Engineering or Mechanical engineering or Architectural Technology. On top of that huyo Graduate atakuwa Mwalimu wa Elimu Ufundi.
Kwa MANTIKI HIYO huyu ajira yake anaweza kuwa engineer kwa maana akajiajiri mwenyewe au ajiriwa kwenye kampuni au pia anaweza ajira na serikali kama engineer.
Ikitokea ameeajiriwa kama engineer serikalini ataanza na mshahahara wa TGS E kama ilivyo kwa engineers wengine.

Lakini ikitokea akaajiriwa serikalini kama mwalimu wa Ufundi kwenye technical secondary schools or Technical Colleges basi mshahahara wake utaanza na TGTS F.

Na haya yote ninayokuambia hapa hawa Wanachuo wameelezwa. Na pia wameelezwa kuhusu dira ya serikali kwa Sasa katika elimu na umuhimu wa hiyo course kwa sasa kwa taifa letu.

Halafu anatokea mtu huyo huyo pamoja na kuelezwa hayo yote anakuja hapa jukwaani kulalamika halafu mtu huyo hata hiyo degree hana na haja-qualify bado ana mitihani ya semester ya mwisho na hata project hajafanya na ku-submit, huoni kuwa huyo dogo hajielewi?

Sasa analalamika hapa asaidiwe nini ili hali hata cheti tu hana!
Agiza chochote ukipendacho, hela nitalipa mimi. Hapo umemaliza kila kitu, ukweli ni kwamba kwa ngazi ya degree ni MUST pekee ndiyo wanafundisha programme hii na bado hawajatoa wahitimu hata mara moja, ila kwa ngazi ya diploma in technical education vyuo vingi vinafundisha na wahitimu wanapiga kazi kama ma-technicians au walimu wa ufundi katika sekondari na vyuo. Hii kozi ina soko na future yake ni nzuri sana kwani tuendako mbeleni kila shule ya sekondari (O-level na A-level) itakuwa na mchepuo wa ufundi na kila halmashauri itakuwa na chuo cha VETA.
 
Absolutely 💯.
Kuna watu wamemaliza programmes za engineering lakini ajira imekuwa mtihani kwao.

Wakisoma hiyo Postgraduate Diploma in Technical Education soon after graduation wanalamba ajira serikalini na kuajiriwa kwenye VETA na wapo waliomaliza hizo programme na Sasa wanakula maisha huko mtaani na check no zao.
Hivyo NASHAURI kama kuna watu wpo kitaa na wamesoma engineering programmes halafu ajira haieleweki ni vema waka-join hiyo programme ili wawe na uhakika wa ajira serikalini hasa kwenye Vyuo vya VETA na technical schools or Technical Colleges

Huo ni ushauri wangu wa bure tu
Well said
 
Wewe ni mwanachuo mjinga kwa sababu kwa Sasa elimu ya Tanzania ipo transformed to elimu amali/ technical Education.
Hakuna product iliyotoka must au Tanzania hadi Sasa.
Intake ilipo Ina Wanachuo saa kama 70 hivi ambao wote watarajiwa na serikali baada ya kuhitimu na kufaulu masomo Yao.
Wewe usipotoshe watu kwa jambo usilo lijua.
Wizara inayohusika na utumishi wa umma wameshatoa hadi scale ya mshahahara ambao hao wanasoma technical Education wataanzia , Sasa wewe unalalamika hata hujui usemayo.

After all, wewe kama mwanachuo wa technical Education maana yake umesomea engineering - either civil, electrical or mechanical, Sasa si uende ukaitafute ajira based on your area of specialization?

Narudia tena, usipotoshe umma kwa mambo usiyoyajua. We komaaa umalize masomo yako.

kwa upande wa kuwa registered ERB ukiingia kwenye mfumo wa usajili wa ERB hizi kozi za TECHNICAL EDUCATION IN ENGINEERING hazipo , hii inamahana gani kwenye kujisajili hasa hawa wahitimu wa mwaka huu?
 
Back
Top Bottom