Wewe ni mwanachuo mjinga kwa sababu kwa Sasa elimu ya Tanzania ipo transformed to elimu amali/ technical Education.
Hakuna product iliyotoka must au Tanzania hadi Sasa.
Intake ilipo Ina Wanachuo saa kama 70 hivi ambao wote watarajiwa na serikali baada ya kuhitimu na kufaulu masomo Yao.
Wewe usipotoshe watu kwa jambo usilo lijua.
Wizara inayohusika na utumishi wa umma wameshatoa hadi scale ya mshahahara ambao hao wanasoma technical Education wataanzia , Sasa wewe unalalamika hata hujui usemayo.
After all, wewe kama mwanachuo wa technical Education maana yake umesomea engineering - either civil, electrical or mechanical, Sasa si uende ukaitafute ajira based on your area of specialization?
Narudia tena, usipotoshe umma kwa mambo usiyoyajua. We komaaa umalize masomo yako.