Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Inamaana wale wa masomo mengine hawapo hapa nawaona wa sayansi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wakati mwingine inabidi, ni sehemu ya maisha!sipendi kuaibika mimi...wewe unapenda?
kabisa...vipi kale kajamaa bado kanakujakuja tu kulialia?[emoji23] [emoji23] [emoji23] wakati mwingine inabidi, ni sehemu ya maisha!
Kameacha baada ya kusoma uzi wangu na kuona msimamo wangu kuwa sitarudi nyuma nasonga mbele![emoji23][emoji23][emoji23]kabisa...vipi kale kajamaa bado kanakujakuja tu kulialia?
kapo humu kumbe?Kameacha baada ya kusoma uzi wangu na kuona msimamo wangu kuwa sitarudi nyuma nasonga mbele![emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio, mi mwenyewe nilikuwa sijui. Nashangaa juzi kananiambia kumbe wewe ndo unajiita Thad? Uzi wako nimeuona na msimamo wako nimeuona pia nimekubali....nitakuita shemeji! [emoji16][emoji16][emoji16]kapo humu kumbe?
Nipo Mimi....Inamaana wale wa masomo mengine hawapo hapa nawaona wa sayansi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Mi nilindika jina la mwalimu wa hilo somo mtihan wenyewe ulikuwa ni mathe nilpata 24
aseeh pole aseeehNdio, mi mwenyewe nilikuwa sijui. Nashangaa juzi kananiambia kumbe wewe ndo unajiita Thad? Uzi wako nimeuona na msimamo wako nimeuona pia nimekubali....nitakuita shemeji! [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie paper ilikuwa kama halieleweki nilikuwa sikusanyi alafu siku ya kugawa mwalimu akimaliza tu kugawa najitokeza nasema sijapata