Marlaw: Sina mpango wa kushiriki kampeni za kisiasa tena

Afande Sele alikuwa CCM na mwaka 2010 iliipigia kampeni sana CCM. Ni juzi tu alihamia CHADEMA baada ya kuona game ya Muziki imemkataa.

Nahisi kuna uhusiano mkubwa sana kati ya CCM na nuksi za maisha kwa watu wengi.


Kama ni hisia zako sina hoja tena mkuu!!!!!!
 
Mwenzao ROMA anayoyoma lakini TMK(Temba & Chege) hawana tofauti na Marlaw tangu wajiingize kampeni za CCM hakuna Mtanzania anayewajali anayenufaika ni Diamond kwani yeye wanamlipa fedha nyingi hadi wanampeleka nje ya nchi kwa ajili ya mavikao yao(Lakini kwa kuwa SEMBE ni Biashara ya CCM na tukiunganisha dot kuwa Diamond anahisiwa kusafirisha SEMBE inawezekana huwa yupo biasharani)
 
Afande Sele alikuwa CCM na mwaka 2010 iliipigia kampeni sana CCM. Ni juzi tu alihamia CHADEMA baada ya kuona game ya Muziki imemkataa.

Nahisi kuna uhusiano mkubwa sana kati ya CCM na nuksi za maisha kwa watu wengi.

Mdau lazima huyu bwana akatafute mafanikio nje ya ccm.
Ccm ina wenyewe huwezi mziba komba pale.
 

Sasa perfomance ya Diamond unaiweka kundi moja na hao wengine?????!!!!!!
 
We nyoro kweli wewe

Kuna simu mamako atakwambia anaumwa tumbo utamwambia weka picha

Mkuu msamehe bure huyu jamaa jana alivyosikia cdm yaiteka pwani akaomba pcha alipopewa akatokomea.
 
Weka picha mkuu stori za kutunga tumezichoka kabisa acha umbea mkuu hauna posho kabisa.

watu kama wewe ni wa kupigwa ban ya milele kwa hiyo hilo gazeti hapo hujaliona???
Aaaaah..mnakera kwelkweli
 
Diamond anaipigia kampeni CCM tangu anatoka mpaka leo ila bado yupo juu kimuziki. TOT ni Bend ya CCM na Bado ikifanya maonesho watu wa vyama vyote wanaingia. Inatakiwa ujue kuwa Burudani haina mipaka na hata kama unapiga music ktk bend ya chama, nje ya shughuri za chama hauwezi imba nyimbo za chama tena hata Rose Mhando muziki wake unawaburudisha hata wale wasio walokole. Akubari vijana wamemfunika sio kutafuta huruma ya wana CDM. Hata Afande Sele alisha ponda sana alipokacha VINEGA eti hajui muziki vp leo?
 
Baada ya kumiwa kama Dume Condom
 
Ntaanza kusikiliza tena muziki wake
 
Connectivity ya kuporoka kwake na CCM sijaiona bado.....eti kwamba watanzania hawanunui muziki wake kwa sababu ameiimbia CCM!!!???NGUMU KUMEZA!!aache uvivu,,apige kazi,,Diamond mbona ameimba kwenye mikutani ya CCM na bado yupo juu,,,vijana tusitafute mchawi wa failures zetu,,,,,tuache starehe na tuwe wabunifu na kufanya kazi kwa bidii.
 
Tulimuonya sana na game yake sasa imekwisha.

Anasema hivi ili apate comeback nyingine. Haiwezekani

Anajua vijana ndio wanunuzi wa kazi zake za mziki halafu anaenda ku-promote chama adui kwa vijana?Tamaa zilimponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…