OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Mkuu mfano wa nn ilihali wametoa ya moyoni kwamba wametengwa na washabiki.
Anatafuta justification tuuu hana lolote la kuweza kusimamia hoja!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mfano wa nn ilihali wametoa ya moyoni kwamba wametengwa na washabiki.
Afande Sele alikuwa CCM na mwaka 2010 iliipigia kampeni sana CCM. Ni juzi tu alihamia CHADEMA baada ya kuona game ya Muziki imemkataa.
Nahisi kuna uhusiano mkubwa sana kati ya CCM na nuksi za maisha kwa watu wengi.

Mwenzao ROMA anayoyoma lakini TMK(Temba & Chege) hawana tofauti na Marlaw tangu wajiingize kampeni za CCM hakuna Mtanzania anayewajali anayenufaika ni Diamond kwani yeye wanamlipa fedha nyingi hadi wanampeleka nje ya nchi kwa ajili ya mavikao yao(Lakini kwa kuwa SEMBE ni Biashara ya CCM na tukiunganisha dot kuwa Diamond anahisiwa kusafirisha SEMBE inawezekana huwa yupo biasharani)
Weka picha mkuu stori za kutunga tumezichoka kabisa acha umbea mkuu hauna posho kabisa.
bado haja funguka fresh! ngoja kwanza kidogo apigike na U-CCM wake. Dhambi kubwa mno.
Ongezea na banza stone halafu utapata jibuHivi watu kama Mzee Yusuph, Ngwasuma, Twanga, Diamond na wengine wenye mafanikio ni wa vyama gani????!!!!
Sasa perfomance ya Diamond unaiweka kundi moja na hao wengine?????!!!!!!
Weka picha mkuu stori za kutunga tumezichoka kabisa acha umbea mkuu hauna posho kabisa.
Ongezea na banza stone halafu utapata jibu
Performance IPI sasa ya sembe au ya stejini?
Weka picha mkuu stori za kutunga tumezichoka kabisa acha umbea mkuu hauna posho kabisa.