Marlaw: Sina mpango wa kushiriki kampeni za kisiasa tena


kubwa jinga we..!
 
Marlaw hapo unamtafuta mchawi tu,hakuna mahusiano ya mziki na kuporomoka kwako kimuziki.So wimbo gani mkali uliotoa ulitaka u-hit,MBAYUWAYU ama?Huo Mbayuwayu unaweza ufananisha na Bembeleza?Kaza kaka bado hujachekewa ila ujipange,huu mziki sahivi watoto wanahasira sana na pesa so hawakosei,wanahakikisha kila ngoma inayokuja inalingana or inamzid aliyepita.So jitahid uende sambamba na hawa watoto; Diamond,Dimpoz,Mavoco,Ben Paul,Barnabas,etc ili usimtafute mchawi
 
Tena Marlaw ujitahid sana urud kwenye chati ili yule mtoto mwenye inye ya uhakika (besta) asije akakukimbia
 

message za kwenyw hip hop najikuta tu nazijua
binti yangu kuna siku alishangaa nilivokuwa naghani 2030 ya Roma Mkatoliki
!!
wanatuliza akili kwa kweli!
 
Kama leo hajapelekwa mbeya avizie nafac ya kutoa vibao vya chama kipya cha Zitto
 
message za kwenyw hip hop najikuta tu nazijua binti yangu kuna siku alishangaa nilivokuwa naghani 2030 ya Roma Mkatoliki !! wanatuliza akili kwa kweli!
ROma mkatoliki ni noma....
 
Hawa wasanii wetu...they dont think abt tomorow so let them feel the quencequenses of the next day....msoto anao pitia leo ndo msoto wa vijana wengi nchini.. ..ni wakati wa yeye kuonja joto ya jiwe.
 
kisingizio tu..

aseme tu 1 kwa 1 kwamba amefulia kimziki na sio kusingizia siasa!
 
kawaida kupanda na kushuka ndio habari ya mijni mimi aminia marlaw kaza we angalia mkwanja siasa mchezo mchafu we ccm poa cdpoa ilimrdi mkwanja mzuri
 
ooopppsss so usiniambie uliacha kumsikiliza kwa kuwa alijiengage kwenye siasa mchezo mchafu haaaaaaaaahaaaaaaahaaaaaaaaa obviously you made me laugh louder.
Nitaanza tena kusikiliza miziki yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…