Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada ngada
Dogo ana hatari kupiga promo lote hilo si njema sanaaaa...........
 
Wanaume wengi waliochangia humu wana wivu mno mfyuuu..nilijua tu nisie wanawake tunaoneana wivu kumbe hata nyie!ebu pateni hasira nanyi mtafute mkwaja bwana!acheni roho mbaya![emoji1]
Mie nampongeza sana kwa mafanikio yake, ila promo hilo ni ushamba wa kiwango cha lami.
 
Yaani huyu atakuwa anauza unga
Yap..!
Itakuwa kweli maana kuna jirani yangu alikuwa na kijumba kibovu maisha magumu lakini ghafla ndani ya miaka miwili ameshusha bonge la mjengo wa ghorofa nne na kanunua gari kama lile la msanii "Dawamondu"
Nimepeleleza siri ya utajiri huu wa ghafla wa huyu jirani yangu nikasikia eti anamiliki mashine ya kusaga unga na anasafirisha unga wa mahindi kwenda nje ya nchi nimeshangaa sana kumbe unga umewatoa wengi sana kimaisha.!
 
The truth is here lakini pia yapo ya South Africa si unaona GP!!? Gauteng Province
Kuna mshikaji wangu moja jana kamoona montepuez na jeep kali nyeupe yenye jina lake(promo)..analiuza..kakosa mteja kaondoka jana kuelekea Pemba(Mozambique)..alishajitoa hata kwenye ruby ana deal na magari tu south Africa na Mozambique!
 
Ikishindikana ataambiwa apeleke vyeti vya kuzaliwa sambamba na kumpima mkojo.!
 
naona umekata tamaa kabisa ya kutafuta pesa, umeamua kujifariji...inauma sana unakimbizana kila siku na kodi ya nyumba...halafu kunz watu wanatanua tu na mijumba ya kifahari...tutafika lakini
 
kumbe dar kuna vijana wanapesa hivyo? mbona vijana wa Dar wa hapa jf wamejichokea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…