Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Ukiongelea kijana mwenye magari makali bongo wengi watakuambia Diamond ila wachache sana hawajui mondi hayupo hata kwenye top 100 ya vijana wakali wa town kwa mandinga makali.

Huyu hapa ni kijana Marley dollars ukiacha jumba lake la maana ana miliki ndinga za maana sana mjini. View attachment 738210View attachment 738211View attachment 738212View attachment 738213View attachment 738214View attachment 738215View attachment 738216View attachment 738217View attachment 738218View attachment 738219View attachment 738220View attachment 738221View attachment 738223
As long as hana kazi au biashara inayoeleweka huyo na utajiri wake ni bure enzi za JK tuliwasikia wengi je? Wapo sikuhizi Mondi anajulikana kwa kazi zake za mziki ila huyo tajiri wako lazima TRA imjue anafanya biashara gani!!!!
 
Ayaaaahh... Mbona mnapost picha zang bila ridhaa yang na kunidiscuss... Au mnataka TRA waje kunchunguza.. Sijapenda kwaweli
 
Safi sana,Uteseke duniani na kuzimu ugweuzwe kuni ufala gani huo? Hapo kama in chafu anazifua tu anaendelea kama kawa
 
Jamani..eeh huyo marley Dallas ni broker wa madini ya Ruby..montepuez(msumbiji)..hayo magari mnayoyaona karibu yote yana namba za Mozambique..sio yake wanapewa na ma argent wa kuuza hayo magari..mengine ni manjonjo tu..
The truth is here lakini pia yapo ya South Africa si unaona GP!!? Gauteng Province
 
Back
Top Bottom