Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Utoke kijiweni uwe na ofisi ya kununua madini kirahisirahisi tu? Acha ndoto. Kwanza mwenzio kachakarika ana ofisi yake mjini ya madini. Madini yake hauzi bongo anauza hongkong. Kachakarike kwanza upigike uko chini ukibahatika utafikia lengo la kukaa ofisini.
ndiyo mzee baba
 
We wanawake unawajua vizur ww, usikute demu wa mshikaji anatamani maliza davido, ama mtoto wa bakhresa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama unasaka pesa saka kwa nguv zote kwa ajili ya familia yako hasa mama mzazi, na wanao, usisake pesa ili umkamate mwanamke utajiongopea, nafs ya wanadamu kuridhika ni mtihani kidogo.
aya mkuu
 
Kiasi watanzania tusiende mbele kimaendeleo,bila hata watu kumjua huyu dogo tayari wameshaijua kazi anayofanya,tayari wameshampa jina la muuza unga,...kesho kutwa polisi watakwenda nyumbani kwake kumpekua kama hawajamuona na kitu watamuwekea kidhibiti,ndio maisha ya Dogo yatakuwa yamemalizia hapo,,,,juhudi zake zote za kupambana ndio zitakuwa zimemalizika na kusahaulika..!!

Kwanini Watanzania tuko hivi,kuanzia Raisi wetu mpaka mtanzania wa maisha ya chini kabisa mawazo yetu yanafanana,tuko na chuki,wivu,choyo,uhasidi..!!

kwanini hatumuombei tu huyu Dogo azidi kufanikiwa,tujiombee na sisi vile vile tufanikiwe ili tusonge mbele katika masiha yetu ya kawaida pamoja na tunaowapenda zikiwemo na familia zetu
tumuuombee azidi kuzichanga
 
MBONA RABA ZA KISHAMBA HIVYO MIKUFU KAMA ENLGISH GOLD, HAPANA SUBIRI NIZIANGALIE HIZO NAMBA KAMA KWELI ZIMESAJILIWA AFRIKA KUSINI NA TANZANIA ISIWE NI PHOTOSHOP IMETENGENEZA NAMBA HALAFU INASETIWA MAANA RABA NI ZILE ZA SH 3000 HOW AZIVAE KWANINI
chunguza
 
dah, kweli mkuu
Kuna mshkaji flani nae alikuwa anapiga ishu ya madini ya rubby, jamaa alikuwa ana nyumba kali anamagari makali ila aliendekeza kwa mademu akauza nyumba na magari sasa hivi ukimwona huwezi kuamini
 
Msumbiji hakuna muuza madin wa hivyi kutoka tanzania wauza madin wa musumbiji wote nawajua na ni wasukuma, wanyakusa na mpale mmoja
Acha uongo,mi si miongoni mwa makabila uliyotaja. Karibu Catandica mgodi umefumuka tena.
 
huyu jama nimetembelea profile yake instagram, anaonekana ni kijana aliyejitafutia mali zake kawa jasho lake,, mchakalikaji,,, wala sio muuza unga,,

aiseee yuko mbali sana ametuacha sanaaaa,,,

sio mtu wa kupenda chini,,

alafu alishaoa kitambo tuu,,,

anajielewa,
Buraza wewe umejuaje sio mtu wa milupo,maisha ni kutafuta mpka upate...wauza ruby ya msumbiji wanahela mana thamani ya hilo jiwe ni ghali sana grm 4 au 3 unaweza kupata 250,000$$ au zaidi.
Ila sio jiwe linapatikana mara kwa mara unaweza pata leo ukaja pata tena 2022
 
huyu jama nimetembelea profile yake instagram, anaonekana ni kijana aliyejitafutia mali zake kawa jasho lake,, mchakalikaji,,, wala sio muuza unga,,

aiseee yuko mbali sana ametuacha sanaaaa,,,

sio mtu wa kupenda chini,,

alafu alishaoa kitambo tuu,,,

anajielewa,


umemsifia kwa sababu umemuona ni tajiri au 1kush africa
 
Kuna mshkaji flani nae alikuwa anapiga ishu ya madini ya rubby, jamaa alikuwa ana nyumba kali anamagari makali ila aliendekeza kwa mademu akauza nyumba na magari sasa hivi ukimwona huwezi kuamini


Huyo jamaa itakuwa ni mjinga au alilogwa...ila utani pembeni ku-maintain hela nyingi isiishe na kuifanya ijizalishe ni vigumu Jambazi
 
Back
Top Bottom