Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Huu ni uchawi wa grade bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema mkuu unataka kumjua hao wote unaowasema marafiki zake wanaishi S.A si kweli hana Rafiki tofauti na family yake iliyoko hapa Da’slaam
Na ni bora kuuliza ili umjue hata history yake ya maisha mpaka kufikia hapa alipo sasa...Watz inabidi tuache kuwa na selfish TUPAMBANE KUTAFUTA MAJUNGU HAYAJENGI
 
Nasikia dogo ni pusha, ila labda ni wale jamaa wa forex

Unasikia ni pusha labda jamaa wa forex 🤣🤣🤣🤣Fanya kazi Ndg upate size yako [emoji108][emoji108][emoji108]watu wana hustle haswa ninyi mkiona gari 2/3 pusha daaaa Watz tuko chini sana coz ya kutopendeana mazuri bado tuna kwanini YEYE NOT MIMI
 
Naona umekuja kujibu tuhuma mwenyewe ha ha
 
"Get rich or die trying" hii kauli ya kiume pekee mwanaume akienda tofauti na hii kauli lazima aliwe tako tu for " hustlers only" tuache majungu na umbea tutafute pesa vingnevyo mtafuta jasho na kung'ata godoro kama Dada zenu
 
SIwezi kuona wivu kwa MUUZA NGADA.
 
"Get rich or die trying" hii kauli ya kiume pekee mwanaume akienda tofauti na hii kauli lazima aliwe tako tu for " hustlers only" tuache majungu na umbea tutafute pesa vingnevyo mtafuta jasho na kung'ata godoro kama Dada zenu
Hiyo status yangu tangu nianze kutumia Whatsapp.
50 Cent nilimkubali sana na hii ngoma.
 
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…