Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Marley dollars kawaje tena role modal wa vijana wengi tz
 
[mention]mrangi [/mention] njoo mkuu unieleze hili chaka limekuaje?
 
Kwenye hyo caption ya Maputo,,Sisi tushaelewa ana deal na nini?

Wabongo tumekuwa wapumbavu sn.
Hatuwezi kuficha machafu yetu.
Hatuna pause za undercover.
 
Kwenye hyo caption ya Maputo,,Sisi tushaelewa ana deal na nini?

Wabongo tumekuwa wapumbavu sn.
Hatuwezi kuficha machafu yetu.
Hatuna pause za undercover.
Umenikumbusha mkuu Kuna mshikaji baharia mwenzangu kipindi Dili zinasoma alikuwa anaishi hapo Maputo kwenye hotel za kifahari,saiv tupo nae ngamani[emoji1787]
 
Umenikumbusha mkuu Kuna mshikaji baharia mwenzangu kipindi Dili zinasoma alikuwa anaishi hapo Maputo kwenye hotel za kifahari,saiv tupo nae ngamani[emoji1787]
Napajuwa vzr hapo,,

Wabongo hatuna pause,

Mwisho wa siku utasikia kapigwa bunduki,

Sababu ameshudhulumu wahindi.
 
huyu jamaa ni mrangi wa kondoa ni mpambanaji noauma anafanya kazi za madini kuchimba tena kwa mikono na kununua.ukienda ulanga,kondoa,Tunduru, mahenge,Mbinga uliza marley utaambiwa anakopatikana.
 
huyu jamaa ni mrangi wa kondoa ni mpambanaji noauma anafanya kazi za madini kuchimba tena kwa mikono na kununua.ukienda ulanga,kondoa,Tunduru, mahenge,Mbinga uliza marley utaambiwa anakopatikana.

Kabase msumbiji kwa sasa shida wabongo ukitoboa kila mmoja anasema lake analojua mara unga mara ngada na blah blah kibao
 
Huyu jamaaa ananikumbusha maisha ya π†πˆππˆπŒππˆ , πˆπ•π€π πƒπŽπ, π‡π”π’π‡ππ€ππˆ, πŠπˆππ† π†πŠ π’π‡πŽππ€ [emoji1487] tutafute pesa aiseee [emoji1488]
 
Anapiga mishe gani kwanza??
I met the guy nadhani it was 2018 Manyara kwenye mishe fulani za Ruby....kuna mgodi mmoja wa wazawa ukitema Ruby ya kutosha ndo walienda kufanya hizo mishe!!

Jamaa ni Mrangi fulani mtu wa ku-hustle kwelikweli maana sehemu yyt yenye harufu ya madini lazima atinge!!!
 
Hivi unajua mnaomiza hii kauli tutafute pesa naonaga kama hampo serious na hii life, hivi mtu mzima unakumbushwaje kutafuta pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani huna mahitaji? Unaishije sasa bila pesa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…