Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Nilisikia wanaanzisha bendi
Kwani huo wimbo una eneza uovu wowote?we sii mamchunga lkn 🤔.... Na huko mnasema msiipende dunia na mpo dyuniani....... secretarybird wa hapa ni wamoja tuu
Nilisikia wanaanzisha bendiKurudi kwenye game ni ishu nyengine
Hakuna kitu kinaitwa uovu , ukiongelea dini na imani huyo Mungu mnae dai kaacha uovu nae ni kiazi tu kama alijua kila kitu.Kwani huo wimbo una eneza uovu wowote?
Kwani siku hizi mmehalalisha miziki ya kidunia 🤔Kwani huo wimbo una eneza uovu wowote?
Kitu ulichofichwa hapo ni mwanzo wa uovu au historia ya uovu. Inakubidi ufanye utafiti wa kutosha uelewe kwa kina chanzo cha uovu. Ukiweza kupata chanzo chake hapo haitakuwia ugumu kuelewa mpango wa Mungu.Hakuna kitu kinaitwa uovu , ukiongelea dini na imani huyo Mungu mnae dai kaacha uovu nae ni kiazi tu kama alijua kila kitu.
Mimi ndio nasikiliza nyimbo zenye ujumbe wa kufundisha hao wengine nawao ni wao.Kwani siku hizi mmehalalisha miziki ya kidunia 🤔
Basi kama ni wakati wa kufanya remix ya huo wimbo ni sasa.Aifanyie Mara ngapi? Remix ilishafanywa na chid Benz kitambo wakati no ukuta ukishindana nao ....
Haumtafutii mema muache apambane nje ya gemu, hivi ameacha kula fegi siku hizi?Nilisikia wanaanzisha bendi
Ulishawahi kuchukua hata master tu? Huko bongo ukajua nyenzo za utafiti upoje?Kitu ulichofichwa hapo ni mwanzo wa uovu au historia ya uovu. Inakubidi ufanye utafiti wa kutosha uelewe kwa kina chanzo cha uovu. Ukiweza kupata chanzo chake hapo haitakuwia ugumu kuelewa mpango wa Mungu.
Nilimwona Clouds mbona anaonekana ana afya nzuri sana hata kuongea kwake anaonekana ndio amekomaa zaidi.Haumtafutii mema muache apambane nje ya gemu, hivi ameacha kula fegi siku hizi?
Kwani umeambiwa wanaovuta fegi wanaonekana kua na afya mbaya? Jaji Warioba February Marope unawaonaje?Nilimwona Clouds mbona anaonekana ana afya nzuri sana
Uovu na chanzo vyote ni vyake unless unataka kumchagulia vitu vya kumpa na vya kutompa.Kitu ulichofichwa hapo ni mwanzo wa uovu au historia ya uovu. Inakubidi ufanye utafiti wa kutosha uelewe kwa kina chanzo cha uovu. Ukiweza kupata chanzo chake hapo haitakuwia ugumu kuelewa mpango wa Mungu.