secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nataka uniletee mzigo wangu fulani pale kwa Rafaelly kama hutajali.Ndiyo tumetoka kunywa chai hapa Impala hotel saa ßita tutakuwa njiani kwenda usangi kwa kina mbaga jr
Nataka uniletee mzigo wangu fulani pale kwa Rafaelly kama hutajali.Ndiyo tumetoka kunywa chai hapa Impala hotel saa ßita tutakuwa njiani kwenda usangi kwa kina mbaga jr
Ndo nipo kibosho road, nikifka kindi ntakupigia ujiandae,Nataka uniletee mzigo wangu fulani pale kwa Rafaelly kama hutajali.
Do that please.Ndo nipo kibosho road, nikifka kindi ntakupigia ujiandae,
Bwana Marlow popote ulipo kama una mpango wa kurudi kwenye Bongo Fleva jaribu kufanya remix ya wimbo wa Bado Umenuna.
Huu wimbo watoto wa 2000 bado hawajausikiliza.
View: https://youtu.be/hV7ECjCPBbQ?si=_YJETZ1JYb4nOiUD

Otee mnamaDo that please.
Ni comedian yupi? 😁Msalimie sana hangaya lakini usimzidishie matani kama yule mwana stand up comedy aliyeyakanyaga.
Hahahah 😂Otee mnama
Nadhani Anaitwa said said kama sikosei.Ni comedian yupi? 😁
Unacheka nn ndege wa kiotaniHahahah 😂
Bwana Marlow popote ulipo kama una mpango wa kurudi kwenye Bongo Fleva jaribu kufanya remix ya wimbo wa Bado Umenuna.
Huu wimbo watoto wa 2000 bado hawajausikiliza.
View: https://youtu.be/hV7ECjCPBbQ?si=_YJETZ1JYb4nOiUD
Mshangazi mmoja amenifurahisha hapa.Unacheka nn ndege wa kiotani
Ulevi sio poaOukay