Marlow popote ulipo fanya remix ya kibao cha Bado Umenuna unaweza kurudi kwenye game

Marlow popote ulipo fanya remix ya kibao cha Bado Umenuna unaweza kurudi kwenye game

Kitu ulichofichwa hapo ni mwanzo wa uovu au historia ya uovu. Inakubidi ufanye utafiti wa kutosha uelewe kwa kina chanzo cha uovu. Ukiweza kupata chanzo chake hapo haitakuwia ugumu kuelewa mpango wa Mungu.
Mungu aliumba dunia ikiwa safi bila uovu. Baadae uovu ukaingia kwenye dunia ambayo Mungu ameiumba, maana yake Mungu hajui yajayo.
 
Uovu na chanzo vyote ni vyake unless unataka kumchagulia vitu vya kumpa na vya kutompa.
Bado hujafunuliwa kujua siri za Mbinguni na duniani boss. Soma vitabu kila jambo lina mwanzo wake tena sio wakupenda.
 
Mbinguni ni wapi ?
Mbinguni ni ulimwengu wa kiroho usioonekana kwa macho ya kawaida ambapo ndipo yalipo makao ya Mungu, malaika, na roho za watu waadilifu waliokufa. Ni mahali pa utukufu, furaha, na uzima wa milele.
 
Hehe! unafikiri wimbo ukiupebda wewe ndo na hao wa 2000 wataupenda..?

Soko la muziki sasahivi limebadirika hata hao wapya wakikaa kimya kidogo tu unawaona wameshuka!, inahitaji umakini mkubwa sana kukaa kwenye chat sio tu one hit basi!..
Mipango inatakiwa inasukwa, ujue soko linahitaji nini nawe ubadirike vipi, unatakiwa ufanye recruitment management yako kwa usahihi, producers wako na usiwe na producer mmoja kama nywele maana akipitwa na wakati imekula kwako!...

Vitu ni vingi mamii kurudi kwenye mfumo si jambo dogo!.
Pia uwe na kazi ya kueleweka ya kukuingizia kipato ambayo utakuwa unai-link na kile unachofanya hapo utaendelea kuwepo...vivid example Lady Jaydee, Pro.Jay (japo sasa hivi maradhi yanamsumbua).

Wengi unakuta amepotea miaka kadhaa alafu hata kiuchumi anakuwa ameyumba japokuwa akihojiwa atasema yupo busy na masuala ya biashara wakati wakongwe wenzako unakuta wamepumzika lakini kwenye social media hata event mbalimbali wanakuwepo Kwa kuwa wana issue wanafanya na hata akifanya wimbo mapokezi yanakuwepo mazuri badala ya wao na kujikuta kwenye interview anaulizwa maswali ya behind the scene baada ya music wake maana wanataka kujua alikuwa anafanya nini.

Na mbaya zaidi anarudi kwa kufanya media tour na kama kawaida presenter wanawajaza goma kali kwa kupigwa hiyo siku labda hilo wiki alafu ndo basi tena
 
Mbinguni ni ulimwengu wa kiroho usioonekana kwa macho ya kawaida ambapo ndipo yalipo makao ya Mungu, malaika, na roho za watu waadilifu waliokufa. Ni mahali pa utukufu, furaha, na uzima wa milele.
Hizo siri za mbinguni ni zipi ?
 
Back
Top Bottom