Sawa reporter, Aslay haitaji mbeleko.. Anakomaa kivyakeAslay ameanza kulia lia baada ya kuona kipaji cha kweli kinaingia kazini.
Kweli, ila sio kusema anayekumaa kivyake analia lia!! Tunahitaji akina Diamond 1000 na zaidi watakao assign wanamuziki kwenye label zaoni vyema pia kila mtu anamaamuzi yake ya kuchagua
Nani asemema, ndio wakina Diamond 1000 ni jambo zuri na la heri coz kufikia idadi hiyo industry ya muziki itakuwa imeshakuwa vizuri.Kweli, ila sio kusema anayekumaa kivyake analia lia!! Tunahitaji akina Diamond 1000 na zaidi watakao assign wanamuziki kwenye label zao
Sorry, ni ya Sinza pazuriNani amesema
Asley ni kisiki cha mpingoAslay ameanza kulia lia baada ya kuona kipaji cha kweli kinaingia kazini.
Asley ni kisiki cha mpingoAslay ameanza kulia lia baada ya kuona kipaji cha kweli kinaingia kazini.
”anayekomaa”[emoji115]Kweli, ila sio kusema anayekumaa kivyake analia lia!! Tunahitaji akina Diamond 1000 na zaidi watakao assign wanamuziki kwenye label zao
Aslay ameanza kulia lia baada ya kuona kipaji cha kweli kinaingia kazini.