Maromboso (Mbosso) rasmi WCB

Maromboso (Mbosso) rasmi WCB

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
878
Reaction score
651
Usiku wa kuamkila leo WCB ikiongozwa na Diamond Platnumz, wamemtambulisha msanii wao mpya Mbosso ambaye alikuwa Yamoto Band.
26872946_195824407829304_8604132671548817408_n.jpg

Hafla ya kumtambukisha msanii huyo iliudhuliwa na watu mabalimbali ikiwemo waandishi wa habari.
Pia Mbosso ametoa video yake mpya "Watakubali" akiwa kama solo artist, itazame hapo chini
 
Kweli, ila sio kusema anayekumaa kivyake analia lia!! Tunahitaji akina Diamond 1000 na zaidi watakao assign wanamuziki kwenye label zao
Nani amesema
 
Kweli, ila sio kusema anayekumaa kivyake analia lia!! Tunahitaji akina Diamond 1000 na zaidi watakao assign wanamuziki kwenye label zao
Nani asemema, ndio wakina Diamond 1000 ni jambo zuri na la heri coz kufikia idadi hiyo industry ya muziki itakuwa imeshakuwa vizuri.
 
Back
Top Bottom