Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Yaah kumbe Kuna mabaya pia!
 
Respect.... she is "USED", and she doesnt like it at all

It doesnt matter how smart she is, the fact is... she is "USED"

Buhahaaaaaaa! AND THIS FACT MAKES MARRIAGE A VERY NOBLE INSTITUTION? Buhahhaaaaaa! Indeed! I agree!
 
hapana sijakubaliana nae yeye kabase kwenye weakness zaidi mazuri ya ndoa hayaoni

Ndoa ni tamu sana. Take it from me my miss neddy. With time utakuja kujua na kuthibitisha. Ndoa inaonekana uchafu kipindi ambacho umri unaruhusu wanaume kukugeukia wakati unakatiza kitaa... kitakapofika kipindi wanaume wanaangalia chuchu saa sita wkt wewe umri umeelekea magharibi ndipo utakapojua babu ni ODM mimi.
 
Last edited by a moderator:
Mabishani ya BIBLE kuna MTU MZITO kaomba yasiwepo! Let it go! Tubishanie tu vingine!

bible is a major reference huyo mzito tu kwenye pikipiki ila sio kwenye scope of what really means

vitu vingine vipi?
 
then hujui maana ya hypocrisy... promise, breaking promise and unafiki ni vitu tofauti

that sums up everythingk

walk on.... and get "USED"

Hahaaaaa! AND I GUESS THE MORE I GET USED THE MORE MARRIAGE BECOMES EVEN A MORE NOBLE INSTITUTION! My rate of usage increases marriage purification levels, BWAHHAAAAAAAAAA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…