Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Kwa maneno haya umekubaliana na mtoa mada!
hapana sijakubaliana nae yeye kabase kwenye weakness zaidi mazuri ya ndoa hayaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maneno haya umekubaliana na mtoa mada!
Unataka ukutwe dampo la Boko? Enelea tu
Unataka ukutwe dampo la Boko? Enelea tu
Yaah kumbe Kuna mabaya pia!Hivi mtu akitunukiwa nishani ya ufanyakazi bora,inamaanisha hakuwahi kukosea muda wote aliokuwa akifanya kazi?..tumuite mnafiki kwa kuwa kwake mfanyakazi bora?
Walioko kwenye ndoa ni wanadamu pia ...Sio malaika kusema hawakosei...to err is human....married or single.... Wote tunakosea. .na kukosea Sio unafiki matatizo pia lazima yasemwe
mwezi mtukufu hakuna samare.
hapana sijakubaliana nae yeye kabase kwenye weakness zaidi mazuri ya ndoa hayaoni
Nipo karibu kurejea Mama Kijacho wangu. Week mbili kabla ya tarehe yako ya kujifungua nitakuwepo pamoja nawe
Enheee!!!
REALITY nawe una ndoa????
Bhuhahahaaaa
Mi nakuangalia tu. hapa sijui hapa ni ndoa au uhawara?
kama samare haipo kuna nini babu??
Mabishani ya BIBLE kuna MTU MZITO kaomba yasiwepo! Let it go! Tubishanie tu vingine!
then hujui maana ya hypocrisy... promise, breaking promise and unafiki ni vitu tofauti
that sums up everythingk
walk on.... and get "USED"
Kila mmoja anapomvumilia mwenzake ndipo linapatikana neno KUVUMILIANA.Huwa najiuliza,
Hivi kwenye ndoa ni KUVUMILIA au KUVUMILIANA?
kumbe kuna mabaya ya ndoa? Basi mnakubaliana.hapana sijakubaliana nae yeye kabase kwenye weakness zaidi mazuri ya ndoa hayaoni
Wacha tuu...Mi nacheka tuu hapa...
Pro-marriage wamepandwa na jazba..
Ila kuvumiliana hakupogo kiukweli...Kila mmoja akimvumilia mwenzake ndipo kunapatikana neno KUVUMILIANA.
Very simple.
Off topicunauliza swali gani ilhali unajua nakuungisha pale sansiro kila weekend