Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

yap its true turudi kwenye familia zetu na tujirekebishe ndoa zina raha na karaha pia ila sisi km sisi tujiheshimu hakuna jipya chini ya jua
tuthaminiane,tupendane na kuheshimiana.
ili watu km LARA wasipate guts za kutuattack

kweli kabisa tubadilke ili hawa wenzetu waje nao wabadilike waiangalie ndoa in positive eyes,na hata wale ambao hawakubahatika maana wote hatuwez kuwa ndoani watakuwa na mtizamo mzuri juu ya ndoa kwamba kamwe Ndoa si taasisi ya kinafiki. Ndoa na iheshimiwe na watu wote haswaa wanandoa wenyewe.
 
Dada geniveros,natumaini utakubaliana nami kwamba hata urafiki wa
boyfrend na girlfriend una machungu yake,au sio? Hata maofisin kuna conflicts!!na ndio maan kuna conflict management traing at work place au sio?

ndio zipo ndo ila mahusiano yasiyo na ndoa kapigana chini ni dkk sifuri tu ila ndoani ni ngumu sana kwangu mimi eti nigombane na mme wangu tunatupiana mineno ya ajabu ajabu...?!!
hamna mi ntajitahd kushuka ili apoe sipendi tukose amani na hata kidogo ntamuomba msamaha baas maisha yanaenda
but i dont regret kuolewa na MUNGU amtupe shetani mbali kabisa na sisi as long as mi ni mwanamke naamini niko chini ya mume wangu sidhani km kuna usawa kati yetu.
 

binafsi nakushangaa,!!!!
 
Point nzuri sana hii nadhani ni fundisho kwa wanaume na wanawake wa MMU walioko ndoani, hapa kinachogomba ni ndoa kuitwa taasisi ya Unafiki baasiii!!
Ambapo imeitwa hivi kwa vyanzo kama huo ukurubembe wa members wa taasis hio!
 

LA HASHAAAAA SI UUNGWANA! Haya mambo ndo yanamuweka Joyce Kiria mjini! Hahaa!
 

huna hoja una zunguka zunguka tu….. NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE
 
haina haja ya kuendeleza ubishi... Hcho ni kilio cha mkosaji ili tufike mwisho wa safar salama kila mtu aamini anachokiamin na akitendee kazi
Hahaaa! Basi mi nahitimisha kwa KUKUONYA USIAMSHE WALIO LALA UKIWAAMSHA UTALALA WEWE!
 
Hawa failures wa ndoa ndio wamekuwa wasemaji wa ndoa zetu.Andika thread page bilion na bilion bado hutaweza badirisha ukweli kwamba ndoa ni msingi wa taifa lolote!!Endelea(ni) kujipa faraja...na slogan za "mwanamke bila ndoa inawezekana".

Njoo page ya 17 kuna ujumbe wako toka kwa MKE WA MUYAHUDI NA WAKE ZENU WENGINE, MIE SAIVI MTIZAMAJI TU, WAMESHUKA WENYEWE HYPOCRISY YENU IMEWACHOSHA! Hahaaaa!
 
Hahaaaa! SWEETY IM 40 ALREADY AND SINGLE, WISH I WAS 29! Hahaaaa naona HYPOCRISY imekujaaa, unaona kama nimeinhiamo moyoni mwako! Hahaaaa! Punguza hasira kidogo!

Okay so kama mimi niko 40 NDO NAWASABABISHA MUACHIKE HUO DAILY, WAUME ZENU WAZAE NJE, MKIMBIWE MAJUMBANI, WACHEPUKE, WASIWATAMANI TENA! Ama kweli mimi kuwa 40 ni kizai zai kwa wadada maybe if iget to be 50 mtajipumzisha kidogo!
 
USIDANDIE TRENI KWA MBELE HII PART 4, NA PART 5 ISHATOKA! Fanya uanze mwanzo ndo utafaidi huu mkasa, ukiibukia juu juaautaachwa!
 
Hahaaa! Basi mi nahitimisha kwa KUKUONYA USIAMSHE WALIO LALA UKIWAAMSHA UTALALA WEWE!

mmmmh! Ubishi tu..... Unawapotosha wenzio... Hawajui kuwa mwenzao umekata tamaa baada ya kusota kwa kipindi kirefu
 
mmmmh! Ubishi tu..... Unawapotosha wenzio... Hawajui kuwa mwenzao umekata tamaa baada ya kusota kwa kipindi kirefu
Hahahaaaa! NOW IMEKUWA MSEMAJI WANGU! Tu assume SAWA NIMEKATA TAMAA NA HIZI 40YRS ZANGU,JE NISIPOANDIKA HAPA DIVORSE RATE ITASHUKA? Michepuko itapungua? Amani itaongezeka ndoani? Watu wataacha kutembea na waume za watu, mtapunguza kwa familia zenu? I TOO WISH INGEKUWA NISIPOANDIKA HAPA ALL TJIS GOES AWAY NISINGE ANDIKA KABISAAAAA!

Bt we all know it is what it is WEMBE NI ULE ULE REGARDLESS NIANDIKE NISIANDIKE NDO MAANA PSI WAMEAMUA KUWWCHANA REDIONI NA TV KUWA WANA TAASISI SI WAUNGWANA NI WACHEPUKAJI!
 

Hiki ulichokiandika ndo "UNAFIKI "wenyewe anaaouzungumzia lara1.....

Wengi hamjamuelewa mleta thread....
 
Last edited by a moderator:
huna hoja una zunguka zunguka tu….. NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE

Duhhh...Nimekuwa mtizamaji...Ila hapa wewe ndo umeonesha umbumbumbu wa hali ya juu..

Ni ajabu kusema mtu hana hoja bila kutoa hoja kuonesha kutokuwa kwake na hoja...
 
Hivi mmeelewa au mmeamua kubisha tu?

Naona watu wanajibu kama vile wametukanwa.
Kwani Lara kasema hataki kuolewa kwa vile ndoa ni unafiki?
Au Lara kasema ndoa ni kisiwa cha mateso?
Au kashauri wasio na ndoa wasiingie kwa vile ni unafiki?
Kuna sehemu kaiponda ndoa kua waliomo wamepotea??
Naona wengi mnakuja na point ambazo binti wa watu hajaziongelea kabisa.
Bora usome taratibu... NO TIME LIMIT
Unawahi kuandika yako matokeo yake unakua kituko.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…