Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o


Point of correction !..sijaongelea ndoa yangu hapa either.So far,am happily married, afu sjui nikujbu nini manake unasema haukubaliani uku your themes inatetea mine"si umesema unajibu maudhuhi mengne hayakuhusu,so do I!..and wewe ndio uliedai at first kuhusu fake ids humu nikakushangaa znahusu mini"in short naona hunielew sjui or you are trying so hard to plaster the reality ,..mi naenjoy ndoa yangu it doesn't mean majority do!!!..members Wa humu wengi hawaheshmu ndoa zao at all ata uku mtaani tunaona pia so kudharauliwa is inevitable
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na ww lara 1 ndoa ni mzigo hasa kwa kizazi hiki ambacho wanawake wanawaza kuvuliwa chupi tu. Nilishasema siji kuoa maisha ila ntawazalisha mpaka akili ziwakae.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na ww lara 1 ndoa ni mzigo hasa kwa kizazi hiki ambacho wanawake wanawaza kuvuliwa chupi tu. Nilishasema siji kuoa maisha ila ntawazalisha mpaka akili ziwakae.

Hahaha utawazalisha kina nani???
 
Last edited by a moderator:
Daaaaaaah! Ngoja nilale wadau! Maana ubishani huu kwapa lote hoi kwa kutype! Kama nalipwaaaa!

Pole sana,mimi naomba tufike muafaka mzuri,kadi zote ziko mezani mpaka za chumbani tumezitoa,tupe tu ushindi hata wa mezani juu ya hili kwamba ndoa kama ndoa si taasisi ya unafiki,kama vile tulivyokupa ushindi juu ya swala la umri,mengine yote yabaki constant maana naona Uzi mwingine tena ushafunguliwa.

Usinipotezee tafadhal naona bandiko langu la nyuma umenipotezea,sema neno lako moja tu na roho zetu ziwe kwatu!!! Ndoa si taasisi ya unafiki as dunia siyo mbaya walimwengu ndo wabaya. Ukweli ubaki kuwa ukweli.
 

Sijakatisha tamaa mtu my dear KINGmario i beleive in marriage though naamin si lazima kuingia huko... i was just want people to understand si lazima kuolewa kwa age 30 or before that
 
Last edited by a moderator:
Naona mnabishana bure wakiolewa wote sisi tusiotaka kuoa tutato omba wapi jaman?
Hao waliokata tamaa ndio rizki zetu nasisi. Long liive lara 1 nakupa heko mm sina mpango wa kuoa naogopa kufa kwa presha utakuwa mwendo wa kuwatandika mimba tu
 
Last edited by a moderator:
Hahaha yani humu humu unakataa na humu humu una kubali!
 
Last edited by a moderator:
Naona mnabishana bure wakiolewa wote sisi tusiotaka kuoa tutato omba wapi jaman?
Hao waliokata tamaa ndio rizki zetu nasisi. Long liive lara 1 nakupa heko mm sina mpango wa kuoa naogopa kufa kwa presha utakuwa mwendo wa kuwatandika mimba tu

Hiyo ni nidhamu ya woga uoga wa mtu ndo umaskini wako mkuu huwezi kuogopa kuingia sehemu hamna kitu kibaya kama uoga.duniani na kila kitu kinachomtokea mtu kwanza huanza ku.create image flani ya hofu kushindwa kwahyo hapo tayari umesha creat ku fail tayar kwenye mind na ukiingia lazima ya kushinde tu penda kuwa mwenye uthubutu kwenye life usipende ku learn kwa failures it will cost you aisee
 
Last edited by a moderator:
Main point yangu ni kuwa KWENYE TAASIS HIO KUNA CHANGAMOTO PIA??? Sasa wengine hapa ndo wanapobishaaaa! Wanadai kule MAMBO TAMBARAREZZZ YOU KNOW! Huku tu Single ndo kuna changa moto?

Great!

Nimefurahi umetambua uwepo wa changamoto za ndoa. Wanaobisha kuwa ndoa haina changamoto wanapaswa kuelimishwa tu wataelewa. Lara1, Hata hivyo, changamoto za 'single' ni nyingi na ngumu sana kuzidhibiti tofauti na changamoto za ndoa. Tukiachana na suala la kulinganisha makundi haya. Hoja yangu ni kuwa, hitimisho lako lilitazama changamoto pekee, laiti lingetazama na faida za ndoa, ni wazi ungepata kigugumizi kuhitimisha uliyohitimisha. Hilo tu.
 

mkuu wanawake wenyewe wako wapi?
Unataka kuniambia nioe hawa hawa anaaga kwenda kwao lakn anaishia kwa mchepuko?
Nioe hawa mnakuwa na watoto zaidi ya wanne lakn hakuna hata mmoja wako?
Unataka nioe hawa unakuja kumuoa huku kachomoa mimba zaidi ya 5?
Unataka nioe hawa anaomba upate safar ya kikaz ili aingize mchepuko ndani?
Unataka nioe hawa wanaishi kwa maisha ya kitamthiliya?
Unataka nioe hawa ambao wanataka uwe na gari nyumba na akaunti ijae wakat huo yeye hana kazi pamoja na kumhudumia lakn unaambulia kulea watoto wa wenzio?
Hapana hujanshawishi dadaangu. Nawachukia wanawake na sitakujakuwapenda. Ntawapenda mda wa kugegeda tu lakn si zaidi ya hapo.
Ihate women
 

Bottom line na kwenye NDOA IPO! Naaita HYPOCRISY kwasababu wana taasisi YOU REFUSE TO ADMIT KWAMBA IPO, MNA WINDOW DRESS FACTS! Ndo ile sawa yapo ila hayatakiwi kusemwa???? Really! TO FOOL WHO? Ndo hypocrisy yenu hio kubwaaa, kupaint a pictire things are so so green, why things are not that green!
 

Hahahaaa! HI YA KUSEMA KWENYE NDOA GRASS IS GREENER NDO HYPOCRISY YENYEWE! Ingekuwa hivo kusingekuwa na DIVORSE basiaiii! Unaonaaa mkuu hata ujifiche vipo hypocrisy ya kindoa ndoa lazima itajitokezaaaaa! Faida za ndoa MADA YAKE IKO JIKO I ON THE MEAN TIME NAENDELEA KWANZA KUREKEBISHA NYUFA KWENYE HIO TAASISI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…