Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Mi sioni kama kuna haja ya mtu kutoka povu hapa.huo ni mtazamo wa lara 1,njoo na wewe na mtazamo wako prove her wrong kwa hicho anachokidhan kuhusu ndoa.watu mnatukana ndio tujue mnahasira sana?
Behave urself bwana hapa ni kwa greater thinker kama huwezi kulumbana kwa hoja piga kimya na kama kimekuchoma achana na hii thread kwan lazima kuisoma,
 
HAHAAAAAA! Wapiiiiiiiii! MINAONA SANA SANAA MMEJITAHIDI KU KILL THE MESSENGER AND BURN THE MESSAGE AFTER READING, mmenitukanaaaa, mpaka mmchoka ILA MMESHINDWA KUTHIBITISHA PASIPO SHAKA YOYOTE KUWA NDOA IS A NOBLE INSTITUTION NA WANANDOA NI NOBLE PEOPLE WITHIN A NOBLE INSTITUTION. Mwisho mmeishia KU DEVIDE AND RULE MMESHINDWA KUJITETEA AS AN INSTITUTION, NA KUBAKIA BAADHI TUNAFURAHA ILA KWELI BAADHI SO, WABADILIKE WHICH PROVES HYPOCRISY IMO ILA MLIKIWA MMEIFUMBIA MACHO! Hahahaaaaaaa!

Sijakupotezea NILILALA NDO NIMEAMKA HAPA KUJIBU SHUTUMA ZOTE DHIDI YANGU!
 
Hii FASIHI BADO INAENDELEA, NAKUJA NA MADA INAITWA KILL THE MESSENGER AND BURN THE MESSAGE AFTER READING AMBAYO ITAONGELEA HYPOCRISY WITHIN SINGLE PEOPLE AND UNMARRIED INSTITUTION! Hapatotosha humuuuuu! Wacha single people wai enjoy while it lasts. ALAFU NDO NITATOA CONCLUSION YANGU! Kama fanani.
 
jamani ndoa km ndoa ni taasisi takatifu isiyo chembe chembechembe na unafiki
ndo maana MUNGU aliweka ndoa akakataza uzinzi
na wanandoa tukausiwa tuishi kwa amani na upendo wa hali ya juu
ila kutokana ba binadamu kuwa complex creature ndo sie sie tuliotia doa huu muungano ambao tumehalalishiwa
madhara yake hatuthaminiwi,hatuheshimiki mpaka wengine wamekata tamaa na ndoa zenyewe
ila ndoa km ndoa bado ni noble thing ila sie tulio ndoani ndo tunatia najisi
binadamu tumeumbiwa utashi wa kujua baya na zuri tofauti na wanyama
 
 
Last edited by a moderator:
 
NOBLE THING KIVIPI WAKATI WANANDOA MSHA ASI, NA MMEJAA NAJISIIIII? Mpka MKIVUE HICHO KIATU ndo muongelee NOBILITY! As long as mnafanya ya wamataifa baaaaaaaaas! Dont talk about nobility!
 

kha Lara1 bana, haiya!

nasubiri kwa shauku kuu kuona utakavyowasilisha hizo pini za faida za ndoa.

halafu, mbona sasa umefuta footnote yako mpya?
 
Lara 1 naona kweli umeishiwa hoja umebaki kutumia swanglish tu kama njia ya kuonyesha umetoa hoja ila hakuna kitu. Tafadhali jibu hoja yangu usibaki tu kusema tuna window dress facts. Unless niwaamini wale aliokuambia kuwa unaendesha vita coz hujafanikiwa kuipata ndoa.
 

kha Lara1 bana, haiya!

nasubiri kwa shauku kuu kuona utakavyowasilisha hizo pini za faida za ndoa.

halafu, mbona sasa umefuta footnote yako mpya?

DUDE JIPYAAA SIGNATURE MPYAAAA! Maandalizi ya kombe hilo jipyaaaa!
 
Hoja gani? Maana SIWAELEWI TENA, MAANA SAIVI MNAJICHANGANYA, MWANZO MLIKUWA MNAKATAA HAMNA CHANGAMOTO, KULE MAMBO MAZURI, SAIVI MNAWAYWAY CHANGAMOTO ZIPO, MARA HAMNA, HATA HAMUELEWEKI MAANA SASA MMEJITENGA KUNA BAADHI YENU MMEVUNJA UKIMYA ZIPO KWELI SIKIWASINGIZIA , WENGINE MNAKOMAA HAMNA, SASA KAMA NYIE WENYEWE HAMNA STAND HAHAHAAAA!

Au labda huelewi toka mwanzo MIMI KUWAITA BUNCH OF HYPOCRITES IMEANZIA WAPI.? Nikukumbushe hio imeanzia kutokana na tabia yenu wanandoa KUPAIT A PICTURE KWAMBA KWENYE NDOA THE GRASS IS ALWAYS GREENER , THINGS ARE ALWAYS SMOOTH AND MARRIED PEOPLE ARE BETTER THAN OTHERS! Of which mimi nikachana na HYPOCRISY SABABU HUMO NDOANI KUNA MISKADI MIKUBWA MIKUBWA, IMPERFECTIONS AKA CHANGAMOTO ZA KUFA MTU, OF WHICH SASA UMOJA WENU UMEKUFA, WENGINE MNAKUBALI KWELI THE GRASS IS NOT ALWAYS GREENER, CHANGAMOTO ZIPO AND IT WAS HYPOCRITIC OF YOU TO PAINT SUCH A PICTURE, NA KWELI WALIOOZA WAMO NDANI YA HIO TAASIS NA WENGINE WENU WAMEANZA KUWAKEMEA WENZENU WENHINE HUMO KWENYE HIO TASISI WANAO WAPAKA MATOPE WHICH PROVES IKUITETEA TAASIS KAMA TAASIS WAS AND STILL IS HYPOCRITIC NDO MAANA BAADHI WAMEANZA KIS STAND ALONE KUTETEA NDOA BINAFSI ZAO, SIO TAASISI KWA UJUMLA KWA KUKUBALI WENGINE NDANI YA HIO TAASISI WALIBUGI MEEEEEN! Wanaunguaje na jua!
 
 
 
NOBLE THING KIVIPI WAKATI WANANDOA MSHA ASI, NA MMEJAA NAJISIIIII? Mpka MKIVUE HICHO KIATU ndo muongelee NOBILITY! As long as mnafanya ya wamataifa baaaaaaaaas! Dont talk about nobility!

dunia si mbaya
walimwengu ndo wabaya
na ndoa si mbaya
waoanaji ndo wabaya
 
HAHAHAHAAHHAAAAAAA! No further questions your honor! Need i say more? I dont think soo!

[h=3]Mambo yamekuwa mazito kwenye ndoa yangu
Started by Evz, 11th June 2014 16:32[/h] cc: lara 1
My take:ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…