Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o


Ni kweli kwamba dhana ya ndoa haiwezi kukamilika kama hakuna uhusika wa wanadamu ingawaje kwa namna ya uumbaji practice ya ndoa hufanywa hata na wanyama pia.
lara 1 labda nianze mbali kidogo kwa kutumia misemo hii miwili:

Kazi ya ngazi fulani inapotangazwa na kampuni au taasisi fulani kuna mambo wawili huweza kutokea baada ya usahili.

1. Kazi kupata mtu (Kazi imepata mtu)

2. Mtu kupata kazi (Mtu kapata kazi)

Katika scenarios zote mbili hapo juu ni kweli kuwa ile nafasi ya kazi iliyotangazwa tayari inakuwa imepata mhusika.

Lakini kwa tafakari ya kina, mchakato nambari moja ndio wenye matokeo mazuri kuliko mchakato nambari mbili.

Ndivyo ilivyo hata kwa taasisi hii ya NDOA, NDOA inaweza kupata watu stahiki vilevile watu wasio haki huweza pia kupata (kutengeneza) ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Its a crime to comment negatively on something which you had not experienced in your lifetime,having an affair is far different than being in marriage institution.
AND I GUESS ACCORDING TO YOU THIS CONCLUDES MARRIAGE IS A VERY NOBLE AND SACRED INSTITUTION? Hulalaaaaaaa!
And it further expalins since i had an affairALL THE ADULTRY, CHEATTING, BASTARD CHILDREN, DOMESTIC VIOLENCE, DIVORCES, BIGAMMY, UNRECONCILABLE DIGFFERENCES WITHIN THE MARRIAGE INATITUTION ARE ALL A RESULT OF MY AFFAIR AND HAS NOTHING TO DO AT ALL WITH MARRIED PEOPLE! Mmmmmmmmmmmmmh! INTERESTING! I PLEAD GUILITY AS CHARGED AND HOPES PUTTING YHE BLAME ON ME SOLVES THE REAL PROBLEM AND RESTORES THE HONOR OF THE ONCE SACRED BUT NOW HYPOCRITIC INSTITUTION!

You made your CASE CRYSTAL CLEAR!
 

Kwa hoja hizi Lara1 hustahili kufuta kauli yako. Kimsingi umefanya la maana kuiweka hapo kwenye footnote yako. Hata hivyo, hoja zako bado ni nyepesi sana kufikia hitimisho ulilofikia maana hoja hizi zote zinaonekana kuwa ni changamoto tu za ndoa, lakini hazitoshi kuchora picha ya ndoa ikakamilika na hata kuhitimisha ulivohitimisha.

Btw, what would you recommend: marriage or not marriage?
 
nimekuelewa mkuu ila hata mm amenishangaza sana sijui kwanini ameamua kuleta thredi ya namna hii yaani nikimfikiria nabakia nimwombee tu ndo kilichobakia
Ujiombee na wewe shosti au ndo HYPOCRICY KUSEMA KWAKO YOTE YA,EKUNYOOKEA IMEBAKIA KUNIOMBEA LARA 1 TUUUUU! Mmmmmmmh.?
 

mi nangojea hizo zenu nzito nzitooooo naona watu wanatoa nyongo mwilini hamna, hoja wala mjuu wa hoja, wana tapa tapa tu, busy trying to kill the messenger to avoid the message!
 
tuombeane wote mkuu maana hali ni tete sijui mwanzo na mwisho wake ukoje
Ujiombee na wewe shosti au ndo HYPOCRICY KUSEMA KWAKO YOTE YA,EKUNYOOKEA IMEBAKIA KUNIOMBEA LARA 1 TUUUUU! Mmmmmmmh.?
 
ktk huu mjadala kuna namna si bure kumbe haujaisha tu??
MJADALA NDO HOT CAKE YA SAIVI! Siuachi ngoooo! Nani aanzishe topic idode wakati topic inayouza ipo.? Tunapokezana vijiti tu! Kesho mtu atani jibu to share the glory of this topic! Hahaaaaaaa! Sasa hivi page 10.
 
tuombeane wote mkuu maana hali ni tete sijui mwanzo na mwisho wake ukoje
Hizo nguvu za kuniombea jiombee tu wewe shosti na wasio na waombezi, mimi niko fiti bin fiti. Niko front row hapa nakamua!
 
hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sina la kusema ngoja nikodoe macho :A S-eek:maana .......?
Hizo nguvu za kuniombea jiombee tu wewe shosti na wasio na waombezi, mimi niko fiti bin fiti. Niko front row hapa nakamua!
 
Huyu lazima atakuwa aliolewa then akaachika sio hivi hivi!!!
 

GOOD! Sasa naomba EVALUATION YA WATENDA KAZI AMBAO WAPO KAZINI TAYARI! Tuanzie hapo!
 
Huyu lazima atakuwa aliolewa then akaachika sio hivi hivi!!!
Okay i guess this reason of yours make MARRIAGE A VERY NOBLE INSTITUTION! Well! What can i say? A noble institution it is! HAHAHAAAAAA!
 
As far as I am concerned, naona ndoa ni aina fulani ya mazoea ya maisha. Eti kwamba ukifika umri fulani basi ili udhihirishe uanaume/uanawake wako lazima upate mwenza wa kuishi naye kwenye kifungo cha maisha kijulikanacho kama ndoa. For me ndoa na jela hakuna tofauti zaidi ya mazingira tu, halafu kingine kinachonifanya nisifikirie kuoa ni ukweli kwamba nshapata karibu kila kitu wanandoa wanachopeana, now what? Hakuna jipya kwenye ndoa.
 
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! Huku unakokwenda wewe sasa kwingine kabisaaaa! Ila hoja zako nimecheka kwa kweli! MAISHA YAKO CHAGUO NI LAKO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…