Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

GOOD! Sasa naomba EVALUATION YA WATENDA KAZI AMBAO WAPO KAZINI TAYARI! Tuanzie hapo!

Kama nilivyoeleza katika post ya awali kuwa ufanisi wa watu hao wawili katika zile scenarios mbili haulingani...

Lakini kwa mantiki hiyo hatuwezi kuiponda KAZI hiyo kwa kuwa tu mmoja anafanya vibaya na mwingine anafanya vizuri...

Au kwa lugha nyingine ni kwamba mtia doa (dosari) KAZI ni MFANYAKAZI mwenyewe.

Mfano huu huu unaweza ukautaswirisha kwenye NDOA pia...taasisi ya NDOA ipo tayari ikingoja watu kuingia...

Wenye kuitendea haki ndoa wata-prevail lakini wale wasioweza kuitendea haki ni wazi wata-fail tu...

In the world of mathematics, NDOA tunaweza kuifananisha na a certain complex function ambayo inategemea aina ya variables ambazo utailisha ili ikupe results fulani...

Ukiweka variables ambazo si sahihi ima faima huwezi kupata jibu sahihi...
 

you are totally lost
 
Piganeni basi mmalize hasira hahaaa watu wana jazba humu kila mtu aamini kile anachoamini.
 
mi nangojea hizo zenu nzito nzitooooo naona watu wanatoa nyongo mwilini hamna, hoja wala mjuu wa hoja, wana tapa tapa tu, busy trying to kill the messenger to avoid the message!

Dondoo ya hoja zangu nzito hii hapa

Dhumuni la ndoa


  • Masahafu ya Quran Tukufu na Biblia Takatifu yameeleza umuhimu wa taasisi ya ndoa
  • Tafiti za kisayansi na kijamii zimeonesha na zinaoesha umuhimu wa ndoa
  • Mazingira ya kijamii yanaonesha namna wanandoa wanavyoepuka msongo wa mawazo kwa kuishi vema

Changamoto za ndoa

  • Masahafu ya Quran Tukufu na Biblia yameanukuu hadithi zinazoakisi changamoto za ndoa
  • Tafiti za kisayansi na kijamii nazo zimeonesha na zinaoesha changamoto za ndoa

Maoni yangu

  • Ukichukua changamoto za ndoa, ukazijadili huku ukishibisha mifano ya changamoto hizo kasha ukahitimisha ati ndoa ni unafiki, hitimisho lako nibaki kuwa jepesi maana limebobea kwenye ushahidi wa upande mmoja.
  • Hitimisho zuri la mada/hoja yako lingebeba pia namna ndoa inavyoisaidia jamii na namna ndoa inavyoibomoa jamii. Hapo hitimisho lako lingekuwa zito.

NB: Ni imani yangu kuwa waweza kujazia ‘nyama' dondoo hapo juu.
 
Hahahaaaa! HII VITA INAITWA LIVE TO DIE ANOTHER DAY! Kila siku inachukua sura mpya!

Hast generalization is the fallacy u'r committing without knowing..! Usije ukajificha kichani kunya ukajisemea moyoni kuwa sasa naweza kushusha mzigo with hawanioni. Kams una busara sema sioni with. Lala0 ufanyacho wewe u'r assuming that all marriage zip sababu wa wanavumulia mateso. Kumbuka ujabainisha mini watu eakichukue km furaha ya ndoa au mate so ya ndoa, kumbuka kwanza matatizo na furaha ya ndoa no tofauti kutoka jamii moja hadi nyingine, mfano mkurwa km mwanamke ajawahi kupigwa kwa kuonewa wivu hawezi amino km anapendwa.
 
 
You WiIl NEVER GET PERFECTIONISM,from anything inayokuwa practiced na binadamu.So Opposite ya NDOA ndo yenye PERFECTION?
 

nina wasiwasi na IQ ya huyu kiumbe
 
Nyumba hujengwa kwa hekima,na kuimarishwa kwa busara.Kwa maarifa vyumba vyake hujazwa vitu vya thamani na vya kupendeza(mithali 24:3-4).

Mwenzetu kaamua kutusaidia nyie mnampigia kelele.??!!
 
Kuna watu bila mangumi hasira haziwaishi ....hizi cheche hapa wangekua wanaonana lazima kuna ambao wangekula makwezi teh.

nawajua, wengine ukiwaona machoni wapole lakini dk mbili wanakuchania shati...

haya maisha wacha yapite tu... tufanye mambo mengine
 
Ndoa ni wanandoa.
Si kila mwanaume ni husband material.


Si kila mwanamke ni wife material.


Ndoa kama taasisi yoyote inachangamoto zake, zinaweza kuijenga au kuibomoa.


Kila ndoa duniani ni ya aina yake, hakuna mbili zinazofanana. Ni kama finger print.


Uvumilivu katika ndoa ni muhimu. Kama ilivyo ili kufikia malengo yoyote yale.


What more should I say? Marriage is a very noble institution!
 
Hahaaaa! MI SIJASEMA BASI ZIMA WANA MAANA AU HAWANA! ARGUMENT YANGU NI KUWA HUMOMMWENYE BASI SIO TAMBARAREEEEEEEE! Mna UNAFIKI UNAFIKI ndani yake kama hulka yetu binadamu!

kama unafki upo haiwezi kwa wote ni moja ya kumi ya abiria waweza kuwa wanafki asilimia kubwa ni raha kwa sababu kila anaingia kwenye taasisi hiyo hashurutiswi ni kwa hiari yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…