Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
GOOD! Sasa naomba EVALUATION YA WATENDA KAZI AMBAO WAPO KAZINI TAYARI! Tuanzie hapo!
Kama nilivyoeleza katika post ya awali kuwa ufanisi wa watu hao wawili katika zile scenarios mbili haulingani...
Lakini kwa mantiki hiyo hatuwezi kuiponda KAZI hiyo kwa kuwa tu mmoja anafanya vibaya na mwingine anafanya vizuri...
Au kwa lugha nyingine ni kwamba mtia doa (dosari) KAZI ni MFANYAKAZI mwenyewe.
Mfano huu huu unaweza ukautaswirisha kwenye NDOA pia...taasisi ya NDOA ipo tayari ikingoja watu kuingia...
Wenye kuitendea haki ndoa wata-prevail lakini wale wasioweza kuitendea haki ni wazi wata-fail tu...
In the world of mathematics, NDOA tunaweza kuifananisha na a certain complex function ambayo inategemea aina ya variables ambazo utailisha ili ikupe results fulani...
Ukiweka variables ambazo si sahihi ima faima huwezi kupata jibu sahihi...