Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

hapa naona mashambulizi binafsi sioni majibu! Yani unahita ndoa taasisi takatifu wakati waliomo hawawezi kuwa wa takatifu!
Hahhaaaaaa! HIO INAITWA KILL THE MESSENGER AND BURN THE MESSAGE AFTER READING! Hahaaaa!
 
kwi kwi kwi kwi tehe tehe tehe tehe mi niko natupia pop corn taratibu kwa mdomo huku nacheck hii movie
 
Kutumia BIBLIA TAKATIFU kwenye maandiko ya yako ya KISHETANI Ukome.Ni bora ungetamani kuwa MTAWA,siyo KUGONGWA Kama MBWA
Mkuu biblia imetengenezwa kutumiwa na watu wote! Lakini sijaona majibu
 
we ni kahaba mwenzie period:

REALITY, mimi nacheka tuu hapa!! Dahh

Lara1ni kiboko...Yani alisona mind akajua watu lazima jazba ziwapande....Akaruhusu kiroho safi mtukane(toa nyongo)

Yeye yupo kwatuu anawashangaa.....

This world is unfair aisee....Dahhh
Mi naangalia kwa mbalii...
 
Last edited by a moderator:
mnhhh,,,!! Huyu binti atawasumbua sana mapoyoyo..
 
Tutambue kwamba hapa duniani kila mtu kaumbwa kivyake na ananyota yake na mipango yake aliyoipanga Mungu.
Kama ww umeumbwa kwaajili ya kustarehesha utakuwa mstareheshaji tu na utaichukia ndoa maisha yako yote hata ueleweshwe na mashehe na mapadre lakn bado utaidis ndoa kwasababu hulka yako ipo kwaajili ya kustarehesha hata kweye vitabu vya dini walikuwepo akina rahabu.
Sio kila mwanamke yupo kwaajili ya kuolewa na kuwa mke.........

Mitizamo yenu.
Aliekua housegirl wetu miaka kama 10 na zaidi kidogo alisema hatakaa aolewe wala hataki mtoto maishani kwa vile aliona mamaake akiteseka sana kwa mume(aliolewa mara mbili) na alizaa sana hadi hakuweza kulea.
Leo ni mama analea wadogo zake ni kama wanae kabisaaa.
Alisema miaka mingi ina maana hakuwahi kuitamani ndoa.

YUPO NA MUME WA MTU KUSTAREHESHANA TU NA BUZI LINALEA WATOTO NA MAMA MKWE VIZURI KABISAA.
Maisha sio maigizo.... ndio hayahayq
 
What you are trying so hard to term as hypocrisy is man's susceptibility to err but we were not created hypocrites.
 
Hahaaaaa! MKUKI KWA NGURUWEEE KWENU MCHUNGU! Usijisahaulishe Mgiriki wewe ndio CHIMBUKO HASWAAAAA LA YOTE HAYA!

Back to your point!

KWA HIO HII HOJA YAKO NDO INAFANYA MARRIAGE KUWA SACRED INSTITUTION? Okay! What a noble institution it is!

hahahaaaa! Kwahyo umeyaandika haya kwaajili ya kujibu mashambulizi? Usiipondee ndoa wakat hata huijui inakuwaje, uchungu au utamu wa maisha ya ndoa hutegemeana na nyinyi wenyew wanandoa.
Kwa fikra zako hizi hata ukija kuolewa ndoa yako itakuwa gaza na wachache watakaoona mtiti wa ndoa yako ndio watakuwa wanazidis kama ufanyavyo ww lakn hawajua kuwa wahusika mmeshindwa kujua maana ya ndoa
 
Ndoa ni wanandoa.
Si kila mwanaume ni husband material.


Si kila mwanamke ni wife material.


Ndoa kama taasisi yoyote inachangamoto zake, zinaweza kuijenga au kuibomoa.


Kila ndoa duniani ni ya aina yake, hakuna mbili zinazofanana. Ni kama finger print.


Uvumilivu katika ndoa ni muhimu. Kama ilivyo ili kufikia malengo yoyote yale.


What more should I say? Marriage is a very noble institution!
Wewe una kubaliana na mtoa mada!
 
socrate daughter!

excellent point, na usipokuwa na nauli ya kuingilia humo basini, usitukane waliofanikiwa kuingia kwa kuwaita wanafiki na wasio maana...

Kama vipi tafuta basi jingine hata kama jua linaelekea kuzama, utafika tu hata kama ni usiku wa manane....

umeona eeeeh kama huna nauli kaa pembeni so uanze kutoa visingizio oohoo basi bovu,limejaa sana, linaweza kupinduka , n.k tunaita maneno ya kujifariji kwa kukosa ticketi
 
Ninacho maanisha ni kuwa hamna alie umbwa perfect but tutakuwa tunakosea tukisema tumeumbwa wanafki. Unafki ni dhambi.
 
hahahaaaa! Kwahyo umeyaandika haya kwaajili ya kujibu mashambulizi? Usiipondee ndoa wakat hata huijui inakuwaje, uchungu au utamu wa maisha ya ndoa hutegemeana na nyinyi wenyew wanandoa.
Kwa fikra zako hizi hata ukija kuolewa ndoa yako itakuwa gaza na wachache watakaoona mtiti wa ndoa yako ndio watakuwa wanazidis kama ufanyavyo ww lakn hawajua kuwa wahusika mmeshindwa kujua maana ya ndoa

Dua za kuku nimezizoea! Toa hoja hapoooo!
 
umeona eeeeh kama huna nauli kaa pembeni so uanze kutoa visingizio oohoo basi bovu,limejaa sana, linaweza kupinduka , n.k tunaita maneno ya kujifariji kwa kukosa ticketi

anaponda ndoa wakat wanaparamia waume za wenzao wanajisifia mme wa mtu anahonga wakat wao wameshindwa kuingia kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom