Marriage is a loss to every man. Yaliyotokea siku chache kabla ya kifo cha Mr. Ibu

Marriage is a loss to every man. Yaliyotokea siku chache kabla ya kifo cha Mr. Ibu

We unaweza olewa na mwanaume ambaye huna hisia naye hata kidogo
Siwezi. Mwisho wa siku nitaishia kufanya hayo waliyofanya hao wanawake ni wazi walikuwa hawana mapenzi kwa mume wao ndio maana wakaishia kufanya hayo waliyofanya. Na mwenye wake zake huenda alikuwa anajua kabisa kwamba hawa wapo kwangu kifedha ila hakuona tatizo kwa sababu pesa ipo
 
Wewe unaweza ukampenda mwanaume ila akaja akakuzingu

Na mwanaume ambaye huna hisia naye ndo unakuta amenyooka alafu wewe humpendi maisha hayako fair
Fumbo la maisha ni gumu
 
Hata ufanyaje hakuna ajuaye kesho kwenye maisha lolote lile linakuja bila ya taarifa
Wengine lazima wafail ili wawe fundisho kwa wengine na wengine wafanikiwe ili wawe fundisho kwa wengine
Swali utakua kwenye kundi lipi hakuna ajuaye
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom