mxrereco
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,906
- 3,986
Nadhani ni matokeo ya mambo mawili, moja ni nature ya mwanamke mwenyewe alivyoumbwa na mbili ni fulda aliyoipata mwanamke.Maisha yanabadilika...
Nilivyokuwa mdogo...story nyingi, hadithi na riwaya mbali mbali, zilikuwa zinaonesha wanaume ni wabaya, wanachezea watoto wa kike, wanachangia kukatisha masomo yetu, na hata walio oa wananyanyasa wake zao, wengine wakipipata pesa wanapiga chini wake zao wanatafuta mabint wadogo wanawaoa.
Na ndo tumekuwa tukiamini hivyo...kuwa ili umpate mwanaume sahihi utulivu na Mungu anahitajika.
Sasa I don't know what went wrong....!!! 😭 Mbona kama kibao kimegeuzwa?? Wanaume ndo wanalia zaidi??? Au ndo muendelezo wa kuverify manyanyaso Kwa wanawake? Au wanawake wamekuwa Sugu??? Au ninini? Hali inatisha...!
Ki asili mwanamke ni mbinafsi, si wote ila wengi wao ni wabinafsi. Yaan wakati wengi wa wanaume huwaza kupata maisha mazuri waoe waboreshe familia (si wote), wanawake wengi huwaza apate maisha mazuri aishi peke yabe na wanae. Zamani fulsa ya mwanamke kutoboa ilikua ndogo, ilq dynia ya sasa fulsa ya mwanamke kutoboa ni kubwa, so wanafanya lolote hata kama atatobolea kwa kumdhurumu mwanaume ila katoboa, na akishamdhurumu mwanaume sheria nyingi zinamlinda mwanamke.
Ndio unakuta vilio vingi vya wanaume kupigwa na vitu vizito zinaongezekq