Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo namba 11 kwamba low thinking capacity inakuwa linked direct na fluoride exposure? Kwa madai kwamba fluoride ina block pineal gland (au kama inavyoitwa third eye na baadhi ya watu?) NI KWA USHAHIDI UPI ????? Mbona maji ya kaskazini mwa tanzania ndiyo yanayoongoza kwa kiwango kikubwa mno cha fluoride lakini watu wa hiyo mikoa wapo vizuri sana upstairs?(1) Mke wake wa kwanza kadai talaka na kuchukua akiba zake zote
(2) Mke wake wa pili kasema jamaa analala na mtoto wake
(3) Ghafla akaugua kisukari
(4) Damu ikaanza kuganda kwenye miguu sababu ya chanjo ya korona
(5) Mtoto wake wa kike akatumia hela zote zilizobaki kufanyiwa upasuaji wa kuongeza matrako
(6) Mke wake mwingine aliendelea kudai iPhone 15 wakati mwamba mgonjwa
(7) Ameuza mali zake zote ajitibu na kuhudumia familia
(8) Akakatwa mguu ili aendelee kuishi
(9) Leo amefariki na ametengwa bila mke, bila watoto, bila mali, bila hela & bila mguu
(10) Miaka yote ya kujitafuta imeharibiwa na wanawake
(11) Huwezi kunielewa kwa sababu unatumia fluoride, huwezi kunielewa mpaka vikutokee
(12) Niliwahi kuajiriwa na baba mmoja huko maeneo ya Sinza. Ana mali nyingi sana na pesa za kutosha. Aliishi na mwanae wa kiume, housegirl na mimi. Niliwahi kumuuliza kuwa hajafikiria kuoa? Alichonijibu ni eti kakimbia nyumba yake pale Oestabay, kaacha kila kitu, mke na watoto wake wa kike ili ajitafutie maisha yake mwenyewe asije akafa angali mdogo. Alichobebelea ni mwanae wa kiume tu wa kipekee ambaye ndiye nilisaidizana naye kwenye majukumu ya yule mzee kabla hajafanyiziwa kitu kibaya kilichopelekea mimi kutembeza lasta mtaani sasa
Nahisi nimeeleweka. Wacha niwaache na kapicha ka mchekeshaji wetu bora wa AfricaView attachment 2922815
tunaishi kisha tunaishia(1) Mke wake wa kwanza kadai talaka na kuchukua akiba zake zote

Ila ukumbuke kuwa hakuna utofauti kati ya mwanamke na mwanamke. Mwanamke ni yule yule tu. Yupo kimaslahi, ukiona unapatana naye, ujue kuna kitu anabenefit kutoka kwako, siku ukipoteza ndo basi tena. Hata maandiko yanasema tuishi nao kwa akiliMelki, Nikilialia ndo inahalalisha kuwa wanawake wote hawafai? Maisha yangu na chaguzi zangu si hitimisho la maisha ya wengine na chaguzi zao.
Kibaya zaidi 60% ya hizo pesa ilibebwa na mtoto wake wa kike kwa ajili ya kufanyiwa oparesheni ya kuongeza matako. Na alifanikiwa kufanya hivyo. Utamuona tu msibani mkuu. Sijui naye atakuwa analia[emoji848]Mzee yupo hospital watoto wakaiba pesa ambazo bakuli lilipita kumchangia
Aisee.
Mungu ampumzishe kwa amani.
Mkuu hao usiwape moyo watakuua ukijifanya penda penda. Gonga kimbia sana.Aisee wanawake bhana..
Mkuu, point yako ipigwe lamination kabisaMwanaume anaejielewa hawezi kuweka malengo kwa mwanamke, hata kama umemuoa mchukulie kama company tu. Ukiweka u serious kitakupata kitu usumbue ndugu zako bure
Mr Ibu kwa uhalisia alikufa mwaka mmoja nyuma ,tangu siku ile ya birthday yake alikuwa kama zezeta ,mwaka jana ndio alikatwa mguu mwezi wa 10 kama sijakoseaInasemekana ameokoka na aliwahi kuugua vibaya sana huyu mchekeshaji.
Labda fluoride ndiyo imenituma nijibu hivi bandiko lako
Kuna tofauti ya mwanamke na mwanamke. Kuna wanawake malaya, kuna wauaji, kuna wavumilivu, kuna wapiganaji, kuna walezi, kuna wanaotupa watoto. Wakati unapotongoza ujue utaokota yoyote. Kila mtu na bahati yake.Ila ukumbuke kuwa hakuna utofauti kati ya mwanamke na mwanamke. Mwanamke ni yule yule tu. Yupo kimaslahi, ukiona unapatana naye, ujue kuna kitu anabenefit kutoka kwako, siku ukipoteza ndo basi tena. Hata maandiko yanasema tuishi nao kwa akili
Upo sawa sababu ni wewe, kuna ambaye kila kila kitu anafanya na mkewe na mambo yanaenda naye yupo sawa.Siwezi mhusisha mwanamke kwenye masuala ya pesa ama mali zangu za nje. Ama hata kimawazo, sihitaji cha ziada kutoka kwake zaidi ya unyumba, watoto na uwepo wake tu. Hawachelewi kukugeuka. Nimeshuhudia wangapi! Ni wengi sana mkuu
Ukikaa nao mbali ni sawa na unaeleweka kwasababu wewe ni mtu mzima na unajua unalotaka. La muhimu usidhani mtazamo wako ni mtazamo wa mwingine na kwamba maisha yako yatafanana na mwingine.Hawa viumbe ni wa kukaa nao mbali sana mkuu. Watu wamelia sana na kusaga meno
Katika jambo nimejifunza sana kwenye maisha yangu hadi sasa ni kuwa wenzetu Waislam wanamjua Mungu kweli kweli sio maneno maneno tuuu!Kuna baba mmoja karibu na kinondoni alipooza.
Kichwa tu ndo kilikuwa sawa.
Watoto, ndugu, marafiki walimkimbia. Mkewe kapambana nae kwa zaidi ya miaka 5 mpaka mauti ilipomfika. Mama wa kiislamu yule MUNGU ampe maisha marefu sana.
Aiseee na unawakuta sasa hivi wana bubujikwa na machozi ya uchungu wa Baba yao….Moja,umeisahau,watoto waliiba pesa nyingi zilizochangwa na wadau ili kumsaidia matibu
Kwann wabena mkuuNa huku kwetu mtwara si ndio wanawake hawahawa wa kiislamu wanaotelekeza waume zao? Mpaka inafikia hatua wanaume wa pwani wanatamani sana kuoa mabinti wa kikristo wa kibena na kikinga?
Kweli wapo mabinti wa kiislamu wenye hofu ya MUNGU na wamekuzwa katika mazingira hayo.Katika jambo nimejifunza sana kwenye maisha yangu hadi sasa ni kuwa wenzetu Waislam wanamjua Mungu kweli kweli sio maneno maneno tuuu!
Waislam ni mara chache sana ukasikia kesi za wanawake kukimbia au kutelekeza waume zao au kutaka kuwatoa roho…..
Wakristo hasa wanawake baadhi wamejawa na ukatili wa ajabu sana na ni wanafiki sana sana….hela ikiisha wanakimbia kabisa ….