RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Upendo au mapenzi ni kupendana ila km sio ivyo bas ni mattzo tu
Wanawake na watoto wa kike weng tu wamekua msaada kwa wazee wao pale wanapokua na mattzo
Nadhani kwa uyo comedian hakupendwa na wala akupata wa kumpenda ila wote mama ma watoto walimpenda kwa mali zake sio yeye
Kwenye mapenzi na mtu wa kujenga nae familia pesa sio kla kitu
Hit and run pesa inasaidia ila km ni kujenga familia pesa haina maana