(1) Mke wake wa kwanza kadai talaka na kuchukua akiba zake zote
(2) Mke wake wa pili kasema jamaa analala na mtoto wake
(3) Ghafla akaugua kisukari
(4) Damu ikaanza kuganda kwenye miguu sababu ya chanjo ya korona
(5) Mtoto wake wa kike akatumia hela zote zilizobaki kufanyiwa upasuaji wa kuongeza matrako
(6) Mke wake mwingine aliendelea kudai iPhone 15 wakati mwamba mgonjwa
(7) Ameuza mali zake zote ajitibu na kuhudumia familia
(8) Akakatwa mguu ili aendelee kuishi
(9) Leo amefariki na ametengwa bila mke, bila watoto, bila mali, bila hela & bila mguu
(10) Miaka yote ya kujitafuta imeharibiwa na wanawake
(11) Huwezi kunielewa kwa sababu unatumia fluoride, huwezi kunielewa mpaka vikutokee
(12) Niliwahi kuajiriwa na baba mmoja huko maeneo ya Sinza. Ana mali nyingi sana na pesa za kutosha. Aliishi na mwanae wa kiume, housegirl na mimi. Niliwahi kumuuliza kuwa hajafikiria kuoa? Alichonijibu ni eti kakimbia nyumba yake pale Oestabay, kaacha kila kitu, mke na watoto wake wa kike ili ajitafutie maisha yake mwenyewe asije akafa angali mdogo. Alichobebelea ni mwanae wa kiume tu wa kipekee ambaye ndiye nilisaidizana naye kwenye majukumu ya yule mzee kabla hajafanyiziwa kitu kibaya kilichopelekea mimi kutembeza lasta mtaani sasa
Nahisi nimeeleweka. Wacha niwaache na kapicha ka mchekeshaji wetu bora wa Africa
View attachment 2922815